YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA WAO
BAADA ya kimya kutanda kwa muda mrefu, hatimaye Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kuachana na aliyekuwa kocha wa viungo wa timu hiyo, Msauz,...
KAZE SIO MALAIKA, KILA MMOJA LINAMHUSU
Anaandika Saleh Jembe WATU hawapendi kuelezwa ukweli zaidi ya yale maneno matamu ambayo yanakuwa ni kupakana mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa.Ukweli unajenga na ukweli...
DAVID KISSU AWEKA REKODI YAKE BONGO
DAVID Kissu Mapingano kipa namba moja wa Azam FC ameweka rekodi ya kuwa kinara wa clean sheet ndani ya Ligi Kuu Bara Bara msimu...
MOLINGA NYOTA WA ZAMANI WA YANGA AANZA MAZOEZI ZESCO
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Yanga, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21.Molinga...
MATOKEO YA MECHI ZA JANA
MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE 20.10.2020UEFA Champions League FT Chelsea 0 - 0 Sevilla FT Rennes 1 - 1 FC KrasnodarFT Zenit St. Petersburg 1 -...
KOCHA MANCHESTER UNITED: TULISTAHILI USHINDI
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa walistahili ushindi usiku wa kuamkia leo mbele ya PSG kwenye mchezo wa Ligi ya...
MUZIKI WA TANZANIA PRISONS WAIPA PRESHA SIMBA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons kesho sio mwepesi kutokana na uimara wa wapinzani wao hao ambao kwa sasa...
YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesh, Oktoba 22, Uwanja wa Uhuru dhidi ya...
AMRI SAID WA MBEYA CITY AFUTWA KAZI
AMRI Said, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City amefutwa kazi Oktoba 20 kutokana na timu kutokuwa na mwendo mzuri msimu wa 2020/21.Kwa sasa timu...