SIMBA YATAJA SABABU YA NDEMLA KUITWA TIMU YA TAIFA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa uwezo wa kiungo mkabaji Said Ndemla ndani ya Simba kwa msimu wa 2020/21 ni moja ya sababu ya yeye...
MASHABIKI WA YANGA WALIOWAPIGA WALE WA SIMBA WAFUNGIWA
TAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Tanzania leo Oktoba 2 kuhusu matukio mbalimbali ambayo yamefanyiwa maamuzi baada ya Kamati ya Kusimamia Ligi Kuu Bara kupitia...
SIMBA YAIFUATA JKT TANZANIA, KITUO CHA KWANZA MORO
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, leo Oktoba 2 kimeanza safari kwa basi kuelekea Morogoro ambapo kitapeleka taji la Ligi Kuu...
WATANO KUTOKA AZAM FC WAITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
NYOTA watano kutoka kikosi cha Azam FC wamechaguliwa kuunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania chenye jumla ya wachezaji 25.Stars inatarajiwa kuingia kambini...
NYOTA WANNE WA TIMU YA YANGA WALIOCHAGULIWA TIMU YA TAIFA
NYOTA wanne wanaokipiga ndani ya Klabu ya Yanga wamejumuishwa kwenye orodha ya wachezaji 25 wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo itaingia...
ORODHA YA NYOTA SABA WA SIMBA WALIOITWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
LEO Oktoba 2, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije ametangaza kikosi kazi kitakachoingia kambni Oktoba 5,2020 kwa ajili...
LUIS MIQUSSONE WA SIMBA NA CARLINHOS WAINGIA KWENYE VITA MPYA
ZIKIWA zimebaki siku 15 kabla ya Yanga kukutana na Simba, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 18, viungo wawili wakigeni ndani ya Ligi Kuu Bara, Carlos...
SAKATA LA MKATABA WA MORRISON LATINGA TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa kwamba kimetokea malalamiko ya Klabu ya Yanga kuhusu uhalali wa mkataba kati ya mchezaji Bernard Morrison na...
NYOTA HAWA WALITISHA RAUNDI YA NNE
NGOMA bado hailali kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni raundi ya nne na mambo yanazidi kupamba moto kila raundi na...
HIKI HAPA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KITAKACHOINGIA KAMBINI OKTOBA 5
KIKOSI cha timu ya Taifa kilichoitwa leo kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi