GWAMBINA YATUMA UJUMBE HUU SIMBA
FULGENCE Novatus, Kocha Mkuu wa Gwambina FC amesema kuwa kupoteza kwake mechi mbili ndani ya Ligi Kuu Bara kunampa hasira ya kujipanga kupata ushindi...
VITA YA TANZANIA PRISONS V AZAM FC LEO SI MCHEZO, REKODI ZAO NOMA
ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja...
POLISI KAMILI GADO KUVAANA NA DODOMA JIJI LEO
FRANK Lukwaro, Ofisa Habari wa Polisi Tanzania amesema kuwa benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha Mkuu, Malale Hamsini lipo tayari kwa ajili ya kusaka...
INTER MILAN WAITAKA SAINI YA KANTE
INTER Milan ipo kwenye mpango wa kuipata saini ya kiungo wa Chelsea raia wa Ufaransa, N'Golo Kante msimu huu licha ya kukutana na vigingi kutoka...
JEURI YA YANGA IMEJIFICHA HAPA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa una matumaini makubwa ya kufanya vizuri kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya Mtibwa Sugar itakayopigwa Uwanja wa Jamhuri. Akizungumza...
SAMATTA AANZA KAZI KWENYE MAKAZI YAKE MAPYA
NYOTA wa Tanzania, Mbwana Samatta muda mfupi baada ya kuibukia ndani ya Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki kwa mkopo akitokea Klabu ya Aston Villa...
HIZI HAPA LEO NDANI YA LIGI KUU BARA ZITASAKA POINTI TATU
LEO Septemba 26, Ligi Kuu Bara inaendelea ikiwa ni raundi ya nne.Hizi hapa timu ambazo zitakuwa kazini kusaka pointi tatu namna hii:- Polisi Tanzania...
TUISILA KISINDA: BADO SIJAONESHA MAKEKE YANGU, NITAPAMBANA
WINGA wa Yanga,Tuisila Kisinda amesema kuwa anajiona bado hajacheza katika kiwango chake cha juu lakini atafanya kila liwezekanalo kuhakikisha anatoa mchango mkubwa kwa timu...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi.
NAMUNGO FC: HAIKUWA RAHISI KUSHINDA MBELE YA MBEYA CITY
OFISA Habari wa Namungo FC ,Kidamba Namlia amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Mbeya City ulikuwa mgumu licha ya kushinda kwa bao 1-0 Uwanja...