KUHUSU SAMATTA KUJIWEKA PEMBENI TAIFA STARS….TFF WAIBUKA NA HILI JIPYA…
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limekiri kupokea barua ya kutaka kujiuzulu kwa nahodha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagol’, lakini imemkaushia...
BREAKING NEWS💥💥💥 MO DEWJI AFANYA MAGEUZI SIMBA …TRY AGAIN APIGWA CHINI …BARBARA NDANI…
WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba wameridhia uamuzi wa Rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewj ‘MO’ akiwataka waachie ngazi.
Kwa mujibu wa...
20 IMPERIAL CROWN KASINO! USHINDI UHAKIKA NDANI YA MERIDIANBET…
20 Imperial Crown Deluxe ni mchezo wa kasino mtandaoni unaohusu matunda, mchezo huu una safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu yenye mistari 20 ya...
SIMBA HAPA KWA LUIS MIQUISSONE…MPONGEZWE…KAZI KWAKE KIJANA
HATMA ya Kiungo Mshambuliaji wa Simba anayelipwa mshahara mkubwa zaidi klabuni hapo, Luis Miquissone ipo mikononi mwa Uongoozi wa timu hiyo.
Wakati huu wa usajili...
HELA IPO HUKU KWA MABINGWA WA UBASHIRI TZ MERIDIANBET…
Alhamisi ya leo una nafasi ya kupiga pesa ndani ya Meridianbet na mechi hizi za mataifa za kufuzu kombe la Dunia 2026. Mali, Senegal,...
AZIZ KI ANATESTI MITAMBO…MKATABA UMEISHA YANGA..KAIZER CHIEFS & MAMELODI ZAHUSISHWA
JUNI 14, ndiyo mwisho wa mkataba wa Kiungo Aziz Ki pale mitaa ya Jangwani, ambapo tayari kumeanza kusikika harufu za mchezaji huyo kutimkia kwingine,...
MA “GIANTS” KOMBE LA SHIRIKISHO… SIMBA AWE MAKINI…LASIVYO!
SHIRIKISHO kwa moto sana, ujue sio Simba tu aliyedondokea huko baada ya kufana vibaya kwenye Ligi msimu uliomalizika, ila vilabu vingi vikubwa barani Afrika,...
PRINCE DUBE NI SUALA LA MUDA TU YANGA.
MABOSI wa Yanga SC wapo mbioni kukamilisha dili la kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa AZAM FC, Prince Dube ambaye katikati ya msimu alijivunjia mkataba na...
PACOME ATOA KAULI HII…AMTAJA MSINDO
KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua amepanga kuwa na msimu mzuri katika msimu ujao, ikiwemo kuendelea kuipa mataji timu hiyo.
Nyota huyo ni...
SERGE POKOU ANASA SIMBA…KILA KITU TAYARI
HABARI ZA SIMBA LEO, Inaaminikaa kwamba klabu hiyo wiki hii imepanga kumsaini kiungo wa Asec Mimosas, Serge Pokou kwa mkataba wa miaka miwili wenye...