NYOTA AZAM FC APATA SHAVU ISRAEL
NYOTA wa Azam FC, Novatus Dismas mwenye tuzo ya mchezaji bora chipukizi kwa msimu wa 2019/20 alipokuwa akikipiga ndani ya Bashara United kwa mkopo...
YANGA HAO KUIFUATA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Yanga, kesho kinatarajiwa kuanza safari kuifuata Kagera Sugar kwa ajili ya kuvaana nao kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara kwa msimu...
KOCHA SIMBA AWABADILISHIA MBINU MORRISON NA ONYANGO
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa atawabadilishia mbinu wachezaji wake wote wa kikosi cha kwanza ikiwa ni pamoja na Bernard Morrison na...
NENO LA NEYMAR JR BAADA YA KULIMWA KADI NYEKUNDU
NEYMAR Jr alikuwa miongoni mwa wachezaji watano waliotolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa ambao PSG ilifungwa kwa bao 1-0.Wakati...
SIMBA KUANZA KUIWINDA BIASHARA UNITED
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, kesho kinatarajiwa kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
POLISI TANZANIA YAITUNGUA BAO 1-0 NAMUNGO, MAJALIWA
KIKOSI cha Polisi Tanzania leo Septemba 14 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Lindi...
LAMINE MORO: TUNAHITAJI KUWA NA MWENDELEZO MZURI
LAMINE Moro, beki kisiki wa Yanga amesema kuwa mpango mkubwa wa timu hiyo ni kuwa na mwendelezo mzuri katika mechi zao zote ndani ya...
IDD CHECHE APANIA KUREJEA NDANI YA LIGI KUU BARA
KOCHA Mkuu wa Kitayosce FC, Idd Cheche ambaye aliwahi kuifundisha pia Azam FC amesema kuwa atahakikisha timu hiyo inafanya vyema katika michezo yake ili...
PRINCE DUBE WA AZAM FC AWEKA REKODI YA KIBABE
PRINCE Dube, ingizo jipya ndani ya Klabu ya Azam FC ameweka rekodi ya kibabe kwenye mechi tatu alizocheza ambazo ni sawa na dakika 270...
HESABU ZA SIMBA KWA SASA ZIPO KWA BIASHARA UNITED
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa akili zote wanazielekeza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United unaotarajiwa kuchezwa Septemba 20,...