KASI YA NYOTA WAPYA NDANI YA YANGA YAWAPA MATUMAINI GSM
MKURUGENZI wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said amesema kuwa matokeo chanya ambayo wanayapata Yanga kwa sasa kwenye mechi zao tatu zilizopita yanawapa matumaini ya...
MUGALU: SIKUTARAJIA KUPEWA PASI NA CHAMA
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Chris Mugalu amesema kuwa amefurahi kuona anafunga katika mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu huku akimsifia Chama kutokana na...
GWAMBINA WATUMIA DAKIKA 90 KUSOMA MBINU ZA SIMBA
JACOB Massawe, nahodha wa Gwambina amesema kuwa walitumia dakika 90, Septemba 20 kuitazama mechi ya wapinzani wao Simba wakiwa kambini jambo linalowapa matumaini ya...
KOCHA COASTAL UNION ASHUSHA PRESHA MASHABIKI
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa mashabiki wasiwe na hofu na kikosi cha Coastal Union kwa kuwa wanafanyia kazi makosa ambayo...
YANGA NA SIMBA ZIMEPOTEZANA BONGO JUMLAJUMLA
SIKU 25 zimebaki kabla ya miamba ya soka nchini Tanzania, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Zlatko Krmpotic na Simba inayonolewa na Sven Vandenbroeck kukutana...
ISHU YA NIDHAMU YA MORRISON NDANI YA SIMBA IPO HIVI
MENEJA Mkuu wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa hapati usumbufu wowote kutoka kwa kiungo mshambuliaji wake mpya Mghana, Bernard Morrison. Mghana huyo akiwa anaichezea Yanga...
DAVID MOYES, MENEJA WA WEST HAM UNITED AKUTWA NA CORONA
KOCHA Mkuu wa West Ham, David Moyes amekutwa na Virusi vya Corona pamoja na wachezaji wake wawili ambao ni Issa Diop na Josh Cullen.West...
SIMBA YAPIGA HESABU ZA KUSHINDA MECHI ZOTE DAR
NYOTA namba moja ndani ya Klabu ya Simba Clatous Chama amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani ndani ya ligi na wanahitaji...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
KISINDA:TUNA JUKUMU KUBWA KUTATIMIZA MALENGO
TUISILA Kisinda winga mpya ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa wanajukumu kubwa la kupambana kwa ajili ya timu hiyo ili kuweza kufikia malengo...