MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa tatu umeanza kutimua vumbi kabla ya leo mechi nyingine kuendelea kwa timu...
SIMBA YAIPIGA 4G BIASHARA UNITED KWA MKAPA
KIKOSI cha Simba leo kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 mbele ya Biashara United kwenye mchezo wa ligi...
SABABU YA MUANGOLA WA YANGA KUANZIA BENCHI HII HAPA
KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic amesema kuwa kiungo wake raia wa Angola, Carlos Fernandes ‘Carlinhos ana nafasi ya kuja kufanya vizuri kwenye...
VPL: SIMBA 2-0 BIASHARA UNITED
Simba 2-0 Biashara UnitedImeongezwa dakika 1Dakika 45 zimekamilika Dakika ya 36 Bwalya anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 26 Chama Gooooal la pili kwa SimbaDakika ya...
KIKOSI CHA BIASHARA UNITED KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA
LEO Biashara United, Septemba 20 inamenyana na Simba mchezo wake wa kwanza ugenini kwa msimu wa 2020/21 baada ya kucheza mechi mbili ikiwa nyumbani,...
YONDANI BEKI KISIKI HUYO NAMUNGO
KELVIN Yondani beki kisiki aliyekuwa anakipiga ndani ya Yanga msimu uliopita inaelezwa kwa sasa ni mali ya Namungo FC ambayo inashiriki michuano kimataifa.Namungo inayonolewa...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA BIASHARA UNITED
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Septemba 20 dhidi ya Biashara United Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi Kuu Bara.Mshambuliaji Meddie Kagere ameanza kikosi cha...
AZAM FC YAINYOOSHA KWA BAO 1-0 MBEYA CITY
ALLY Niyonzima nyota mpya wa Azam FC aliyeibukia huko akitokea Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda leo amepachika bao lake la kwanza wakati wakishinda...
SARPONG WA YANGA AWAKIMBIZA NYOTA WOTE WA SIMBA
ZIMEBAKI takribani siku 28 kwa sasa kufika Oktoba 18 tushuhudie miamba ya soka Bongo, Yanga na Simba ikipambana kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Ikiwa kwa...
SVEN AWAPA MBINU MPYA WACHEZAJI WAKE KUIMALIZA BIASHARA UNITED
KIKOSI cha Simba, leo Septemba 20 kitakuwa nyumbani Uwanja wa Mkapa jijini Dar kupambana na Biashara United.Mchezo wa leo ni wa kwanza kwa Simba...