MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO IPO HIVI
LEO Septemba 18, Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo wadhamini wake wakuu ni Kampuni ya Vadacom inaendelea ambapo ni mzunguko wa tatu kwa sasa baada...
AZAM FC KUIFUATA MBEYA CITY
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Aristica Cioaba raia wa Romania leo Septemba 17 kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Azam...
LA LIGA, M-Bet, KUWAPIGA MSASA MAKOCHA
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya M-Mbet na waendeshaji wa ligi ya Hispania, La Liga San Tander wameingia makubaliano ya kuendeleza vipaji nchini Tanzania.Kampuni...
YANGA YAPIGA MATIZI KWA AJILI YA KUJIWEKA FITI KUMALIZANA NA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Yanga leo baada ya kuwasili Bukoba kimefanya mazoezi ya kujiweka sawa ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara...
SIMBA YAITUMIA BIASHARA UNITED UJUMBE HUU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unatambua shauku ya mashabiki wa timu hiyo ni kuona timu inapata ushindi ndicho itakachofanya kwenye mchezo wao dhidi ya...
WANA KMC SASA WAANZA KUIVUTIA KASI MWADUI FC
TIMU ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC imeanza kujiweka tayari kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa...
MUANGOLA WA YANGA KUPEWA MKWANJA WA MAANA NA MABOSI
MABOSI wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga wamefunguka kuwa watawamwagia fedha wachezaji wa kikosi hicho akiwemo Muangola Carlos Carlinhos, kwa ajili...
WAAMUZI HAKUNA HAJA YA KUPEPESA MACHO, WACHEZAJI KAZI MOJA KUPAMBANA
KIVUMBI kinazidi kuwaka kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo kwa msimu huu mpya wa 2020/21 unaoyesha kwamba sio wa kitoto.Ni Septemba...
YANGA YAIFUATA KAGERA SUGAR NA MATUMAINI YA KUTOSHA
KIKOSI cha Yanga, leo Septemba 17 kimekwea pipa kuelekea Bukoba kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar kikiwa...