YANGA YAKOMAA NA MORRISON ALIYESAINI SIMBA

0
 UONGOZI  wa Klabu ya Yanga umekanusha vikali taarifa zinazoenea kwamba wameliondoa jina la winga, Benard Morrison kwenye orodha ya wachezaji wao katika usajili uliokamilika hivi...

LIONEL MESSI BADO YUPOYUPO NDANI YA BARCELONA

0
 Lionel Messi ametangaza kusalia katika kikosi cha Barcelona kwa msimu wa 2020/2021 kufuatia ugumu wa masuala ya kisheria katika mkataba wake yanayoweka zuio la...

SABABU YA MEDDIE KAGERE KUJENGA URAFIKI NA BENCHI HII HAPA

0
 KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck amefunguka kwamba straika wake, Meddie Kagere anakaa benchi kutokana na yeye kupanga na kuchagua timu kutokana na...

BREAKING:MESSI AWAJIBU LA LIGA KUHUSU ISHU YAKE YA MALIPO

0
 BREAKING: BABA wa nyota wa Klabu ya Barcelona, Lionel Messi amesema kuwa ishu ya La Liga kutaka mwanae kulipa Euro Milioni 700 ili aweze...

KAGERA SUGAR YAJIVUNIA MAJEMBE YA SIMBA NA YANGA

0
 KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21 huku akiamini kwamba usajili uliofanywa utampa...

JESHI KAMILI LA AZAM FC MSIMU WA 2020/21 HILI HAPA

0
 Abdul Haji Omary 'Hamahama' Daniel Amoah Awesu Ally AwesuYakubu Mohamed Agrey Moris Ambross Ayubu Rueben Lyanga Salum Abubakary Salum 'Sure Boy' Shaaban Idd Chilunda Obrey Chola Chirwa Ismail Aziz Kader Never Tigere Emmanuel Charles...

MUGALU NYOTA MPYA WA SIMBA KUIKOSA IHEFU MAZIMA

0
 MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, tayari yupo nchini  baada ya kurudi kutoka nyumbani kwao DR Congo alipokwenda kumaliza matatizo ya kifamilia ila...

NAHODHA YANGA ALIGOMEA BENCHI

0
 NAHODHA wa sasa wa Yanga, Deus Kaseke, amefunguka kwamba, amejipanga kuendana na uwepo wa wachezaji wengi wapya ndani ya klabu hiyo, ili asije akateleza...

THIAGO AZIGOMEA KIMTINDO TIMU ZINAZOIWINDA SAINI YAKE

0
 NYOTA anayekipiga ndani ya Klabu ya Bayern Munich ambao ni Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Thiago Alcantara amesema kuwa anapenda kubaki ndani ya...

AZAM FC WAPANIA MAKUBWA 2020/21

0
 UONGOZI wa Klabu ya Azam FC umesema kuwa utakuja tofauti ndani ya msimu wa 2020/21 kwa kufanya makubwa tofauti na msimu uliopita wa 2019/20...