NENO LA NEYMAR JR BAADA YA KULIMWA KADI NYEKUNDU

0
 NEYMAR Jr alikuwa miongoni mwa wachezaji watano waliotolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa ambao PSG ilifungwa kwa bao 1-0.Wakati...

SIMBA KUANZA KUIWINDA BIASHARA UNITED

0
 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, kesho kinatarajiwa kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

POLISI TANZANIA YAITUNGUA BAO 1-0 NAMUNGO, MAJALIWA

0
 KIKOSI cha Polisi Tanzania leo Septemba 14 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Lindi...

LAMINE MORO: TUNAHITAJI KUWA NA MWENDELEZO MZURI

0
 LAMINE Moro, beki kisiki wa Yanga amesema kuwa mpango mkubwa wa timu hiyo ni kuwa na mwendelezo mzuri katika mechi zao zote ndani ya...

IDD CHECHE APANIA KUREJEA NDANI YA LIGI KUU BARA

0
 KOCHA Mkuu wa Kitayosce FC, Idd Cheche ambaye aliwahi kuifundisha pia Azam FC amesema kuwa atahakikisha timu hiyo inafanya vyema katika michezo yake ili...

PRINCE DUBE WA AZAM FC AWEKA REKODI YA KIBABE

0
PRINCE Dube, ingizo jipya ndani ya Klabu ya Azam FC ameweka rekodi ya kibabe kwenye mechi tatu alizocheza ambazo ni sawa  na dakika 270...

HESABU ZA SIMBA KWA SASA ZIPO KWA BIASHARA UNITED

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa akili zote wanazielekeza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United unaotarajiwa kuchezwa Septemba 20,...

NAMUNGO FC: POLISI TANZANIA WATATUSAMEHE

0
 UONGOZI wa Namungo FC ya Lindi umesema kuwa wapinzani wao Polisi Tanzania ambao mchezo wao wa kwanza walipoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya...

POGBA AMERUDI ILA BADO HAJAWA FITI

0
 KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba amerejea katika mazoezi ya kikosi hicho baada ya kuwa nje, lakini kuna uwezekano mkubwa wa kutocheza mchezo wa...

OFISA HABARI WA SIMBA NA WA YANGA WAPIGWA FAINI

0
KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewatoza faini ya shilingi milioni tano kila mmoja Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara na...