WAWILI WAONGEZWA…KAMATI YA USAJILI SIMBA
NI MWENDO wa Kimya kimya tu baadae kila kitu kitakuwa sawa, Simba naona wamechagua kufanya mambo yao kwa siri, hususani mabadiliko ndani ya Uongozi...
BILA KIFICHO…AHMED ALLY ATAJA WALIOITIBULIA SIMBA MSIMU HUU…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amebainisha maeneo ambayo timu yao ilikosea na kusababisha kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano walioshiriki...
STEVE KOMPHELA WA MAMELODI…FILE LAKE LINAJADILIWA SIMBA
UNAIKUMBUKA Mamelodi Sundowns ya Pitso Mosimane? huenda huko mbali, je hii Mamelodi ya Rulani Mokwena? kwenye ubora ule na kiwango kile nyuma yake alikuwepo...
SIMBA YAFUATA KOCHA SA…HATMA YA MGUNDA IKO HIVI.
INAELEZWA kwamba Uongozi wa Simba SC utaachana na Kaimu Kocha Mkuu wa klabu hiyo Juma Mgunda ambaye amedumu na kikosi hicho kwa miezi kadhaa.
Mgunda...
KUPIGA PESA NA MERIDIANBET NI RAHISI SANA…ODDS ZA UBINGWA NI HIZI HAPA…
Je unajua kuwa ukiwa na meridianbet leo hii una nafasi ya kujiweka kwenye nafasi ya kuwa Milionea?. Hapa utapata machaguo zaidi ya 1000, ODDS...
BREAKING NEWS: BARBARA ARUDI SIMBA…MO HATAKI MASIHARA
HABARI za Simba Leo ni za moto, za hivi punde tulizozinyaka ni kwamba aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo Barbara Gonzalez amekubali kurudi...
YANGA SC, AZAM FC KWA KANUNI HII CAF MUWE MAKINI…SIMBA NO STRESS
WAWAKILISHI wa Tanzania kwa upande wa mashindano ya Kimataifa, Yanga SC na Azam FC kwenye Klabu Bingwa Afrika, na Simba SC na Coastal Union...
UKIMYA WA SIMBA…WAMUIBUA AHMED ALLY…ASEMA JAMBO
HUENDA hata wewe umekuwa ukipita kwenye akaunti mbalimbali za klabu ya Simba kujaribu kuchungula taarifa mpya, lakini huoni chochote! ukimya huo umemfanya Afisa Habari...
SIMBA NA YANGA KUPIGWA MARA 3…MSIMU WA 2024/25
HUENDA SIMBA NA YANGA zikikakutana zaidi ya mara 3 kwa msimu ujao wa mashindano, 2023/24, lakini kwa kufuata Kanuni za Ligi timu tutashuhudia Dabi...
SIMBA WAKUBALI KUPITIA MAGUMU…WANAJIPANGA UPYA
HABARI ZA SIMBA LEO, Uongozi wa klabu hiyo imesikitishwa na kupoteza maombe muhimu msimu huuu, na kushindwa kufikia malengo waliyojiwekea kwa msimu wa 2023/24
Simba...