MO SALAH APIGA HAT TRICK HUKO ENGLAND WAKATI LIVERPOOL IKIPIGA 4G

0
 MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Klabu ya Liverpool,  Mohamed Salah raia wa Misri leo amefunga hat trick ya kwanza ndani ya msimu mpya wa...

SIMBA HII MHH,YANGA WANAJAMBO LAO,KESHO NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 KESHO ndani ya Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako jero tu 

VPL:MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA

0
 UWANJA wa Jamhuri, Morogoro kwa sasa mchezo ni kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Simba ikiwa ni kipindi cha kwanza. Timu zote mbili zinapambana...

KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR LEO DHIDI YA SIMBA UWANJA WA JAMHURI, MOROGORO

0
 KIKOSI cha Mtibwa Sugar kitakachoanza leo dhidi ya Simba Uwanja wa Jamhuri,Morogoro 

MBWANA SAMATTA APANIA MAKUBWA EPL

0
 HATIMAYE miamba 20 kunako Ligi Kuu England ‘Premier League’, leo inatarajia kuanza safari ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo kwa viwanja mbalimbali kuwaka moto...

GEITA GOLD KUJA NA TAMASHA LA KUTAMBULISHA WACHEZAJI WAKE

0
 UONGOZI wa Geita Gold, unatarajia kuandaa tamasha la kuwatambulisha wachezaji wapya waliosajiliwa katika timu hiyo tayari kuingia kwenye vita ya kupigania kupanda daraja msimu...

MABOSI WA YANGA NDANI YA UZI MPYA

0
 Tazama Injinia akiwa na mshauri mkuu wa Yanga ndani ya uzi mpya

HAPA NDIPO TATIZO LA YANGA LILIPOJIFICHA

0
 KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic amesema kuwa tatizo kubwa la timu yake kwa sasa lipo kwenye safu ya ushambuliaji. Mserbia huyo alikisimamia kikosi...

MOTO WA LIGI KUU ENGLAND UNAWAKA NAMNA HII

0
 LEO, Septemba 12 kivumbi cha Ligi Kuu England kinaanza rasmi kutimua vumbi.Bingwa mtetezi ni Liverpool inayonolewa na Jurgen Klopp ina kazi ya kuanza kusaka...

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR

0
 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mchezo huu unachezwa leo Septemba 12, majira ya saa 10:00 jioni.