PICHA YA PAMOJA WACHEZAJI WA YANGA WAKIWA WAMETUPIA SUTI

0
 MUONEKANO wa wachezaji wa Yanga wakiwa wametupia suti inaelezwa kuwa kesho Kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi watatupia namna hii.

ARSENAL MABINGWA WA NGAO YA JAMII ULAYA,WAINYOOSHA LIVERPOOL

0
 Arsenal leo Agosti 29 imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa kushinda kwa mikwaju 5-4 mbele ya Liverpool baada ya dakika 90 kukamilika kwa...

KILICHOWAFANYA YANGA WAKAMPA DILI MSERBIA HIKI HAPA

0
ZLATKO Krmpotić kwa sasa ndiye Kocha Mkuu wa Yanga ametua leo mapema akitokea nchini Serbia kuchukua nafasi ya Mbelgiji, Luc Eymael aliyetimuliwa Julai 27. Yanga...

MINZIRO KOCHA MPYA GEITA FC

0
 FELIX Minziro maarufu kama Baba Isaya, leo Agosti 29 ametambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Geita Gold. Amesaini dili la mwaka mmoja kwa...

JKT TANZANIA IPO KAMILI GADO KWA MSIMU WA 2020/21

0
 UONGOZI wa JKT Tanzania umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya msimu wa 2020/21 kwa kuwa kikosi kipo kamili kwa ajili ya kupambana kufikia...

SIMBA:TUNA BWALYA,MUGARU,MORISSON, TUTAWAKERA KWELI YANGA

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa utawakera wapinzani wao wote ndani ya msimu wa 2020/21 kwa kuwa ina kikosi imara na chenye wachezaji bora katika...

TANZIA:MKE WA MO BANKA ATANGULIA MBELE YA HAKI

0
 Mohamed Banka, kiungo wa zamani wa Klabu ya Yanga na Simba amepatwa na msiba kwa kuondokewa na mkewe, Bi Mariam Abdul Banchu.Umauti umemfikia Mariam...

NGAO YA JAMII LEO ARSENAL V LIVERPOOL

0
 Ligi Kuu ya Uingereza EPL msimu mpya wa 2020/21 unafunguliwa kwa mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo unawakutanisha Mabingwa wa EPL dhidi ya Mshindi wa FA wa msimu uliopita (2019/20 Liverpool walikuwa...

STAA WA ‘WAKADA FOREVER’ AFARIKI

0
 Muigizaji wa filamu ya Black Panther, ya mwaka 2018, Chadwick Boseman ametangulia mbele za haki kwa tatizo la Kansa.Nyota huyo alijipatia umaarufu kupitia filamu...

MSHAMBULIAJI MPYA MBIKINAFASO AWASOTESHA YANGA UWANJA WA NDEGE

0
 MAMIA ya mashabiki wa Yanga, Agosti 27 walijikuta wakishinda mchana kutwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kumpokea...