MUANGOLA WA YANGA AONJA JOTO YA JIWE BONGO

0
 STAA mpya wa Yanga, Muangola, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo ‘Carlinhos’, jana Alhamisi alionja joto ya jiwe baada ya kukimbizwa kwa takribani saa...

KMC YAMALIZANA NA DONDOLA WA COASTAL UNION

0
 KMC FC imekamilisha usajili wa golikipa kutoka Coastal Union, Masoud Abdallah (Dondola). Kwa mkataba wa mwaka mmoja. Nyota huyo alikuwa kwenye ubora ambapo alijikusanyia...

KOCHA MRUNDI AANZA KAZI RASMI YANGA

0
 ALIYEWAHI kuwa kipa wa Azam FC, Vladimir Niyonkuru raia wa Burundi aliwasili rasmi nchini Tanzania, juzi mchana tayari kwa kuanza kazi ya kuwanoa makipa...

WAZIRI ZUNGU MGENI RASMI SWAHILI CUP

0
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa michuano ya Swahili...

WAJUMBE WAMPOTEZA DROGBA NAFASI YA URAIS FIF

0
 KAMATI ya uchaguzi ya shirikisho la soka Ivory Coast (FIF) imemuengua mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast Didier...

MTIBWA SUGAR WAFANYA MABORESHO BENCHI LA UFUNDI

0
UONGOZI wa Mtibwa Sugar leo Agosti 28 umetangaza benchi lake la ufundi kwa ajili ya msimu wa 2020/2021 unaotarajiwa kuanza Septemba 6.Zubery Rashid Katwila ataendelea...

SIMBA WAICHOKONOA YANGA KISA ISHU YA MWANANCHI, DIAMOND ATAJWA

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa watani zao wa jadi Yanga hawataweza kuvunja rekodi waliyoiweka wao kwenye kilele cha Simba day kuanzia perfomance mpaka mkwanja...

YANGA WAFUNGUKIA HATMA YA JUMA ABDUL NA YONDANI

0
INJINIA Hersi Said, Mkurugenzi wa Masuala ya Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa...

POGBA AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

0
PAUL Pogba, kiungo wa Klabu ya Manchester United imeripotiwa kuwa amekutwa na Virusi vya Corona muda mfupi kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu...

KOCHAWA TIMU YA TAIFA AWASHANGAA WANAOMBEZA ONYANGO

0
 KOCHA wa zamani wa Kenya, Harambe Stars, Adel Amrouche raia wa Ubelgiji amesema Onyango ni kati ya mabeki bora aliowahi kuwanoa na wanaombeza wataona...