SABABU YA YANGA KUTOCHEZA NA SEVILLA KILELE CHA WANANCHI HII HAPA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mpango mkubwa kwenye kilele cha Wiki ya Wanachi, Agosti 30 ilikuwa ni kucheza dhidi ya Klabu ya Sevila ambao...
AZAM FC WANA JAMBO LAO KESHO, KINGKIBA, MSAGA SUMU NDANI
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mashabiki wasikose kesho kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex kwenye kilele cha Azam Festival.Agosti 23, Azam FC...
CHAMA: BWALYA ATATUBEBA KITAIFA NA KIMATAIFA
CLATOUS Chama, kiungo wa Simba amesema kuwa kiungo mpya wa timu hiyo, Larry Bwalya atawabeba katika mechi za Ligi Kuu Bara na michuano ya...
CONTE AAMBULIA KADI YA NJANO, SEVILLA YASEPA NA TAJI
KOCHA wa Inter Milan, Antonio Conte usiku wa kuamkia leo Uwanja wa RheinEnergieStadion aliambulia kadi ya njano wakati timu yake ya Inter Milan ikipoteza...
HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA WANAOENDELEA NA MAZOEZI
Wachezaji wa Yanga wanaoendelea na mazoezi Uwanja wa Chuo cha Sheria kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara pamoja na wiki ya Wananchi...
SIMBA:MORRISON ATATUPA PENALTI MSIMU UJAO,YANGA YASHUSHA JEMBE,KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
SIMBA YABAINISHA SABABU ZA KUMFUNGASHIA VIRAGO UCHEBE
UONGOZI wa Simba, umesema kuwa sababu kubwa ya kumtimua Patrick Aussems aliyekuwa kocha wa timu ni suala la fedha pamoja kushindwa kufikia malengo ambayo...
NDANI YA HESABU NZURI, SH 500 YANGA INGESAJILI NA KUTENGENEZA UWANJA WA MAZOEZI…
Na Saleh AllyKILA mtu anaweza kuwa na kila anachokiamini tofauti na mwingine na hii ndiyo raha ya kupishana mawazo kwa kuwa kila mmoja anakuwa...
YANGA WATOA NENO LA KIBABE BAADA YA SARPONG KUTUA BONGO
BAADA ya kumshusha leo mchezaji mpya Michael Sarpong, raia wa Ghana ili kuja kumalizana na Yanga kwa ajili ya msimu wa 2020/21. Uongozi wa...
LUCY MGINA ATAMBA KUWATUNGUA MABAO MATATU WANAWAKE WA LIGI KUU BARA
STRAIKA wa kutumainiwa wa kikosi cha timu ya Waandishi wa Habari za Michezo Wanawake Tanzania Bara, Lucy Mgina (Chicharito), amefunguka kuwa wanahitaji kuweka historia...