JESHI KAMILI LA GWAMBINA FC 2020/21 LIPO HIVI, NONGA NDANI

0
GWAMBINA FC ambayo msimu ujao wa 2020/21 itashiriki Ligi Kuu Bara imetangaza jeshi lake la kazi ambalo italitumia likiwa na maingizo mapya pamoja na...

HAYA HAPA MAJUKUMU YA SENZO NDANI YA YANGA, KIBALI CHAKE BADO KIPO SIMBA

0
 MKURUGENZI Uwekezaji wa GSM na Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hersi Said, ametaja majukumu atakayoyafanya aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo...

BEKI MPYA YANGA APIGA TIZI DAKIKA 120, FARID MUSSA KURIPOTI LEO

0
 KWA mara ya kwanza, beki mpya wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto aliliripoti na kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake tayari kwa ajili ya kuanza...

MUONEKANOWA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa 

YANGA YASHUSHA MAPROO SABA KWA MPIGO,CHAMA AFUNGUKIA MKATABA WAKE,NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa 

AHADI YA MORRISON KWA SIMBA IPO HIVI

0
Mghana Bernard Morrison ambaye amesaini dili la miaka miwili Simba, amesema mashabiki wa timu yake hiyo mpya wasiwe na wasiwasi kwani hatakuwa na usumbufu...

KIKOSI BORA MSIMU WA 2019/20 BALAA LAO LILIKUWA NAMNA HII

0
 SHAMRASHAMRA za tuzo za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2019/20 zilifanyika usiku wa Ijumaa Agosti 7 ambapo wachezaji, timu, makocha na viongozi mbalimbali waliibuka...

KABLA YA KUMWAGA WINO MCHEZAJI ITAPENDEZA UKIUELEWA MKATABA

0
 WIMBO unaoimbwa kwa sasa kila kona ni masuala ya usajili ambapo kila timu inapambana kuboresha kikosi chake ili kiwe cha ushindani  msimu wa 2020/21. Kwa...

SIMBA KUANZAKUTAMBULISHA MAJEMBE HAYA YA KAZI

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuanzia kesho Ijumaa, Agosti 14 utaanza kutambulisha wachezaji wapya ambao umemalizana nao kwa ajili ya msimu wa 2020/21 pamoja...

NANE WAKATWA MAZIMA KAGERA SUGAR, WAMO NYOSSO, SABATO NA MWASHIUYA

0
 UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa unaachana na nyota wao tisa baada ya mikataba yao kuisha kwa msimu wa 2019/20. Katibu wa timu hiyo,...