MWINYI ZAHERA AMALIZANA NA GWAMBINA KUANZA NA NYOTA HAWA KUTOKA YANGA

0
 MWINYI Zahera, ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Gwambina FC ambayo imepanda daraja msimu huu wa 2019/20 na itashiriki Ligi Kuu Bara...

WACHEZAJI 10 KIGENI RUKSA KUSAJILIWA BONGO

0
WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeruhusu vilabu vya soka nchini kuendelea kusajili wachezaji 10 wa kigeni, hatua iliyochukuliwa baada ya kuzingatia maoni...

TSIMIKAS APEWA DILI LA MUDA MREFU NDANI YA LIVERPOOL

0
LIVERPOOL imetangaza kuwa imemalizana na beki Kostas Tsimikas kutoka Klabu ya Olympiacos kwa dili la muda mrefu kwa dau linalotajwa kuwa ni pauni milioni...

KUHUSU SAKATA LA BERNARD MORRISON, UJUMBE WA JEMBE HUU HAPA

0
 KWA sasa kinachoendelea kwenye masuala ya michezo ni sakata la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison ambaye ishu yake ipo kwenye Kamati ya Hadhi...

NAMUNGO WAMEDHAMIRIA KUSHUSHA MAJEMBE NANE YA KAZI, MMOJA KUTOKA YANGA

0
 BAADA ya kuwa na uhakika wa kuwakilisha nchi kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho, uongozi wa Namungo umesema kuwa utasajili wachezaji nane wa kazi.Tayari Namungo imeshapata...

NYOTA HUYU ALIYEKIPIGA ULAYA YUPO MBIONI KUTANGAZWA YANGA

0
 IMEELEZWA kuwa Yanga iko kwenye mazungumzo mazuri na mchezaji wa zamani wa Azam na CD Tenerife ya Hispania, Farid Mussa ili kukamilisha dili la usajili...

KIUNGO ‘ALIYEJIFUNGA’ MIAKA MINNE YANGA ANA TUZO MKONONI

0
 Feisal Salum kiungo ndani ya Klabu ya Yanga kwa mujibu wa Injinia Hersi Said Mkurugenzi wa Uwekezaji kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa...

HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA WALIOANZA MAZOEZI, LEO KUENDELEA TENA

0
NYOTA hawa wa Yanga, jana Agosti 10 walianza mazoezi ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2020/21.Meneja wa zamani ambaye amerejeshwa kazini, Hafidhi Saleh alianza...

MASHARTI WALIYOPEWA YANGA KUMPATA SURE BOY LAZIMA ‘WAVUNJE BENKI’

0
 MATAJIRI wa Azam FC, wamekubali kumuachia kiungo wao mchezeshaji fundi, Salum Abubakary ‘SureBoy’ kwenda kuichezea Yanga kwa masharti ya kuweka dau kubwa mezani ili...

NYOTA MPYA SIMBA ATUMA UJUMBE HUU KWA BOCCO NA KAGERE

0
 CHARLES Ilanfya, nyota mpya ndani ya Simba kwa msimu wa 2020/21 akitokea KMC amesema kuwa hana hofu na ufalme wa Meddie Kagere na John...