SVEN KOCHA MKUU WA SIMBA ATWAA TUZO YA KOCHA BORA WA VPL
KOCHA Msaidizi wa Simba Suleiman Matola, leo Agosti 7 amepokea Tuzo ya Kocha Bora wa mwaka kwa niaba ya Sven Vandenbroeck ambaye ni Kocha...
KAGERE ABEBA TUZO YA MFUNGAJI BORA VPL
MENEJA wa Simba, Patrick Rweyemamu leo Agosti 7 amepokea Tuzo ya Mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa niaba ya Meddie Kagere raia...
HAWA HAPA WAMETWAA TUZO ZA VPL LEO, MLIMAN CITY
WAAMUZI Abdallah Mwinyimkuu, Ferdinand Chacha,Mohamed Mkono, Athuman Lazi wakiwa na Tuzo za Seti Bora ya Waamuzi waliyoshinda kwa kuchezesha vyema mchezo wa Ligi Kuu...
MORRISON WA YANGA AICHUNIA TEAMKIBA NA KUIBUKIA TEAMSAMATTA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga leo amezua jambo lake kwenye mazoezi ya maandalizi ya mchezo wa TeamSamatta na TeamKiba yaliyofanyika Uwanja wa Mkapa,...
HIZI HAPA PICHA ZA BAADHI YA WASHIRIKI WA TUZO ZA VPL 2019/20
LEO Agosti 7 Ukumbi wa Mlimani City ni kilele cha usiku wa Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2019/2020.Tayari washiriki wameshawasili ili...
RASMI YANGA WAACHANA NA WAKONGWE WAWILI, YONDANI NA JUMA ABDUL
LEO Agosti 7, uongozi wa Klabu ya Yanga umetangaza rasmi kuachana na nyota wao wawili, Kelvin Yondani na Juma Abdul baada ya kushindwa kufikiana...
DODOMA FC YASAJILI WAPYA WATATU
KIUNGO Cleophace Mkandala "iniesta" aliyekuwa anakipiga Tanzania Prisons amekamilisha idadi ya wachezaji watatu wapya ambao wamejiunga na Dodoma Jiji FC kwa mkataba wa miaka...
ISHU YA UWANJA ISIACHWE IPITE HIVIHIVI WAKATI UJAO, MABORESHSHO YAENDELEE
TUMESHUHUDIA fainali ya Kombe la Shirikisho ikikamilika kwa bingwa kupatikana kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa pale Uwanja wa Nelson Mandela.Nelson Mandela ilikuwa na...
WAKATI HUU WA USAJILI UMAKINI UNAHITAJIKA KWA TIMU NA WACHEZAJI
KAZI imeanza sasa kwenye upande wa usajili ndani ya ardhi ya Bongo ambayo huwa haishiwi matukio hasa kinapofika kipindi cha usajili.Nakumbuka kuna wakati fulani...
MBWANA SAMATTA AMPIGA MKWARA KIBA KUELEKEA NIFUATE
MBWANA Samatta, nyota wa Tanzania anayekipiga Klabu ya Aston Villa ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) amemtaka msanii, Alikiba ‘asimfokee‘ na kumtambia kuelekea kwenye mchezo...