SABABU YA SINGIDA UNITED KUYEYUSHA POINTI TATU MBELE YA WANAJESHI CORONA YATAJWA
SINGIDA United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nzwanzurimo imezidi kuwa kwenye hali tete baada ya Juni 20 kukubali kichapo cha mbele ya JKT...
HILI HAPA JESHI LA SIMBA LILILOTIA TIMU MBEYA,KESHO KULIWASHA DUDE
HII hapa orodha ya wachezaji wa Simba ambao wapo Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mechi mbili za Ligi Kuu Bara.Kesho, Juni 24 wataanza...
MNIGERIA : HUYU NDEMLA HUYU..!!!
STRAIKA wa Mwadui FC, Raphael Aloba ‘Obina’ amesema kupotezwa na viungo wa Simba SC, wakiongozwa na Said Ndemla ndio sababu iliyowafanya kukumbana na kipigo...
PAUL NONGA AGOMEA KUREJEA LIPULI
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa hana mpango wa kurejea kwenye timu kwa sasa mpaka pale watakapokamilisha malipo ya mshahara wake ambao hajalipwa...
SIMBA WAANZA KUIVUTIA KASI MBEYA CITY LEOLEO
BAADA ya kikosi cha Simba kufika jijini Mbeya leo kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuvaana na Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi...
KUHUSU KUTUA YANGA..KOTEI AMEFUNGUKA HAYA..!!
UJUMBE wa kiungo wa zamani wa Simba, James Kotei (26) alioutuma leo kwenye ukurasa wake wa Instagram, umeonyesha ishara ya wazi kuwa anaelekea kujiunga...
SHIKHALO AFUNGUKIA ISHU YA KUWEKWA BENCHI NA MNATA
FAROUK Shikhalo, mlinda mlango namba moja wa Yanga amesema kuwa kukaa kwake benchi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kunampa hasira ya kujinoa zaidi...
A-Z KUHUSU ISHU YA KAKOLANYA SIMBA IPO NAMNA HIVI
HALI ya hewa siyo nzuri baina ya kipa wa Simba, Beno Kakolanya na bosi wake, Mohammed Mwarami na inaelezwa wamechenjiana kwa maneno na ndiyo...
POLISI TANZANIA BADO HAIJAREJEA KWENYE UBORA WAKE
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa kikosi chake bado hakijarejea kwenye ubora wake kutokana na kutokuwa na muunganiko mzuri baada ya...