HAPA NDIPO LILIPO TATIZO LA MBEYA CITY
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa mfumo wake wa kucheza mipira mirefu ni tatizo jambo ambalo analifanyia kazi kwenye mechi zake...
NAMUNGO SASA KUKIWASHA MOTO NA YANGA TAIFA
NAMUNGO FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery Juni 24 itakuwa na kibarua cha kumenyana na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara...
UBINGWA SIMBA UNABEBWA KWA HESABU HIZI HAPA
SARE ya jana, Juni 21 kati ya Yanga dhidi ya Azam, Uwanja wa Taifa imezidi kuisogeza Simba katika kuufikia ubingwa.Iko hivi, Simba wakishinda mechi...
YANGA YASIKITISHWA NA ZOMEAZOMEA YA MASHABIKI
YANGA yakemea tabia ya mashabiki kuzomea wachezaji na kupigana wenyewe kwa wenyewe
MIPANGO YA BIASHARA UNITED NI MOTO
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kushinda mechi zake zilizobaki ili kufaniksha malengo waliyojiwekea.Akizungumza na Saleh Jembe, Mwenyekiti...
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MBEYA CITY
NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa watakuwa na kazi ngumu mbele ya Mbeya City, Juni 24 ila watapambana kupata matokeo.Leo Simba imewasili Mbeya...
SERIKALI YAZUNGUMZIA ISHU YA DAVID MOLINGA WA YANGA
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amesema kuwa alishangaa kuona mchezo wa JKT Tanzania, David Molinga hayupo ndani ya kikosi cha...
SADIO MANE ALICHANGANYA MAJALADA KIDOGO UWANJANI
SADIO Mane, winga wa Klabu ya Liverpool, jana alisahau kuanza kupiga goti moja chini ya uwanja kabla ya mchezo kuanza kati yao na Everton.Baada...
RUVU SHOOTING YAZIPIGIA HESABU OINTI TATU ZA NDANDA KESHO
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa maandalizi ya mchezo wao kuvaana na Ndanda kesho Uwanja wa Mabatini yapo vizuri.Kesho Ruvu Shooting itakuwa na kibarua...
SIMBA YATIA TIMU MBEYA KAMILIKAMILI
KIKOSI cha Simba leo kimewasili salama Mbeya baada ya kuondoka leo Dar es Salaam.Simba ilikwea pipa asubuhi ili kuwahi kufanya maandalizi dhidi ya mechi...