ISHU YA KUCHUKUA TAHADHARI MASHABIKI NI SUALA LA KUZINGATIA
KAZI bado ipo kwa mashabiki kuendelea kufuata ule muongozo ambao umewekwa na Serikali kwa kuingia ndani ya Uwanja na barakoa pamoja na kushangilia kwa...
LIGI KUU BARA KWA SASA IMEMEGUKA MAKUNDI MANNE
MGAWANYIKO uliopo kwa sasa kwenye ulimwengu wa Ligi Kuu Bara ni makundi manne ambayo yanapambana kufikia malengo ambayo wameyaweka kulingana na hesabu zao zilivyo.Tunaona...
NAMUNGO WANASTAHILI KUIGWA, SINGIDA UNITED KAZI INAANZA
TUMEANZA kushuhudia ile burudani ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa macho ya wanamichezo.Nazungumzia mpira wa ushindani ambao umekuwa ukiwakusanya ndugu jamaa...
GWAMBINA FC WAIVUTIA KASI TRANSIT CAMP, KESHO
GWAMBINA FC vinara wa kundi B kwenye Lgi Daraja la Kwanza wameendelea na mazoezi yao kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Transti Camp...
ISHU YA KUFUNGIWA MASHABIKI JKT TANZANIA WAOMBA MSAMAHA
UONGOZI wa JKT Tanzania umesema kuwa makosa waliyoyafanya Juni 17 kwa kushindwa kufuata muongozo uliowekwa na Serikali kwa kushindwa kuweka umbali wa mita moja...
SIMBA:ITAKUWA KAZI NGUMU MBELE YA MWADUI FC ILA TUPO TAYARI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Mwadui FC utakaochezwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 10:00 jioni.Akizungumza...
LEO LIGI DARAJA LA KWANZA MAMBO YANAANZA
LEO Ligi Daraja la Kwanza mambo yataendelea kwa timu nne kuwa ndani ya uwanja kusaka pointi tatu muhimu.African Lyon itamenyana na Boma FC Uwanja...
BUKU TANO TU KUMUONA HARUNA NIYONZIMA
JUNI 21, Yanga itakuwa na kazi ya kumenyana na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa majira ya saa...
BIASHARA UNITED: TUNA HALI NGUMU ILA TUNAZITAKA POINTI ZA NDANDA
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa hesabu kubwa ni kuona wanapata ushindi kwenye mechi yao dhidi ya Ndanda FC, itakayopigwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona,...
KAZIMOTO NA LAMINE SASA MAMBO FRESH
MWINYI Kazimoto, nahodha wa Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa ameshamsamehe nyota wa Klabu ya Yanga, Lamine Moro kwa kumchezea mchezo usio wa kiungwana...