NAMUNGO YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa watapambana kupata pointi tatu mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Juni 20, Uwanja...
SAKATA LA MORRISON LIKIWA LIMETUA TFF, SIMBA WALIJIBU KIMTINDO NAMNA ISHU ILIVYO
WAKATI Uongozi wa Klabu ya Yanga ukiwa umepeleka malalamiko Shirikisho la soka nchini (TFF) kuhusu kushawishiwa winga wake Bernard Morrison kujiunga na klabu nyingine...
DUH! KUMBE TEKNOLOJIA YA GOLI ILICHANGANYIKIWA NA BAO LILILOFUNGWA
IMEELEZWA kuwa refa wa mchezo uliopigwa Juni 17, kati ya Aston Villa anayokipiga nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta dhidi ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
FIFA:YANGA STOP USAJILI, MO ATUMA MESEJI KWA KAGERE,NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
ISHU YA MORRISON KUIBUKIA SIMBA IPO HIVI
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga ameamua kuvunja ukimya na kuweka wazi juu ya hatma ya winga wa kikosi hicho, Mghana, Bernard Morrison, ambaye...
SIMBA: SARE YA RUVU SHOOTING HAIJATUPOTEZEA DIRA, MASHABIKI WATUPE SAPOTI
ERASTO Nyoni, beki kiraka wa Simba amesema kuwa kupoteza pointi mbili mbele ya Ruvu Shooting hakujawatoa kwenye reli kwa kuwa wanaamini kuwa watapata matokeo...
NYOTA AZAM FC APANIA KUFANYA VIZURI
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa yupo kamili fiti kuendelea kupambana ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya Aristica Cioaba,...
YANGA YAMVUTA KIKOSINI NYOTA HUYU WA MTIBWA SUGAR
NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul amesema kuwa iwapo Yanga itamalizana na beki wa pembeni, Kibwana Shomari anayekipiga ndani ya Mtibwa Sugar watakuwa wameongeza...