SIMBA WAAMBIWA WAACHE MANENOMANENO
BAADA ya kupata sare ya kufungana bao 1-1, Uongozi wa Ruvu Shooting umesema kuwa Simba ina kazi ya kujipanga iwapo ina nia ya kupata...
MNYARWANDA YANGA ASHUSHWA KWA MILIONI 40,SIMBA YASHTUKA, NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI Jumatano
COASTAL UNION YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MTIBWA SUGAR
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa hesabu zao kwa sasa ni kuelekea mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Juni...
SIMBA SC YATIKISA HOTUBA YA WAZIRI MKUU BUNGENI
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara,Simba Sc jioni hii wametikisa na kuibua shangwe Bungeni wakati Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
EYMAEL AMPA MASHARTI MATATU MARRISON..LA SIVYO KUISIKIA YANGA KWENYE ‘BOMBA’
Kocha wa Yanga Luc Eymael amesema kiungo wake kutoka Ghana, Bernard Morrison atarejea katika timu hiyo jijini Dar es Salaam, lakini kwa masharti matatu....
ALIYENYOOSHWA NA MWAKINYO TINAMPAY KUKUTANA NA MUZIKI WA MFAUME
PROMOTA wa mapambano ya ngumi nchini Juma Msangi maarufu kama Jay Msangi amesema kuwa bondia Mfaume mfaume amesaini mkataba wa kuzichapa na bondia Arnel...
LACAZETTE PASUA KICHWA, ARSENAL WAKUBALI KUKAA NAYE MEZA MOJA
KLABU ya Arsenal imesema ipo tayari kukaa chini na staa wake, Alexander Lacazette na kujadili mustakabali wake ndani ya klabu hiyo.Lacazette alianza msimu huu vibaya jambo...
SAMATTA KIKAANGONI ENGLAND, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
Kesho ndani ya Championi Jumatano, usipange kukosa nakala yako
WAWILI WA SIMBA KUPIGWA CHINI JUMLAJUMLA
HASSAN Zadadu, mwenyekiti wa Klabu ya Namungo amesema kuwa Klabu hiyo itaachana na nyota wa Klabu ya Simba Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba waliokuwa...
BREAKING;MORRISON ATUA MAKAO MAKUU YA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison ametua makao makuu ya Yanga ili kuzungumza masuala yanayomhusu.Morrison hakusafiri na timu ambayo ilicheza mchezo na Mwadui FC...