MOLINGA SASA KUONGEZEWA MKATABA YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael inaelezwa kuwa ameonyesha nia ya kutaka kuwa na mshambuliaji wake namba moja David Molinga msimu ujao,akiwa ametupia mabao...
BIASHAA UNITED WANAHITAJI MILIONI 10, HESABU ZAO ZIPO NAMNA HII
BIASHARA United ni miongoni mwa klabu ambazo zinafanya vizuri kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara licha ya kusumbuliwa na tatizo la ukata ambalo...
YANGA KUTINGA NDANI YA BUNGE LEO ASUBUHI
KLABU ya Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael leo imealikwa ndani ya Bunge la Tanzania.Taarifa ambayo imetolewa kupitia Ukurasa wao wa Istagram...
MANCHESTER UNITED, CHELSEA KUAMBULIA PATUPU KWA SANCHO
KLABU ya Borussia Dortmund inayommiliki nyota Jadon Sancho anayehusishwa kujiunga na Manchester United imesema kuwa nyota huyo haondoki.Dortmund imesisitiza kwa msisitizo kwamba Manchester United,...
BERNARD MORRISON AKIRI ALIPOKEA FEDHA KUTOKA SIMBA
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa alifuatwa na viongozi wa Simba ambao walikuwa wakimshawishi kumpa mkataba ili atue ndani ya klabu yao.Morrison...
MIRAJI AINGIA KATIKA REKODI
MIRAJ Athumani, ameingia kwenye rekodi kuwa mchezaji wa kwanza wa Simba kufanyiwa mabadiliko ya nne kwa mara ya kwanza katika Klabu ya Simba.Kabla ya...
MNYARWANDA ANAYETAJWA KUWINDWA NA YANGA AWAAGA MASHABIKI RASMI
KIUNGO Fabrice Mugheni, amewaaga rasmi mashabiki wa timu yake ya Rayon Sports ya Rwanda kuwa anaondoka mwishoni mwa msimu huu. Fabrice aliwahi kusema kuwa aliombwa...
YANGA YATANGAZA MASHINE MPYA 5, SVEN AJA NA MIKAKATI MIPYA, NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MASAU BWIRE: ILIBIDI TUWAFUNGE SIMBA MABAO 8-0, BAHATI YAO
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa jana iliwabidi wawachape mabao 8-0 Simba ila bahati haikuwa yao.Ruvu Shooting ililazimisha sare ya kufungana...
SIMBA NA YANGA ZAGONGANA KWA NYOTA HAWA WAKAZI
INAELEZWA kuwa msimu ujao Klabu ya Namungo itakuwa na kazi ya kusuka kikosi chake upya kutokana na mitambo yake mitatu ya kazi kwa sasa...