MATOKEO YA MECHI ZA LEO, VPL

0
Matokeo ya mechi mbili za leo Juni 13 za Ligi Kuu Bara kwenye viwanja viwili tofauti:- Mwadui FC imekubali kuchapwa bao moja kwa bila na...

YANGA YAINYOOSHA MWADUI FC BAO MOJA NA KUSEPA NA POINTI TATU

0
YANGA, leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Mwadui FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Kambarage, Shinyanga leo Juni 13.Mchezo wa leo...

RUVU SHOOTING:TUTAWASHANGAZA WENGI KESHO

0
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kesho watawashangaza wengi ndani ya uwanja kwenye mchezo wao dhidi ya Simba.Ruvu Shooting itamenyana na...

VPL:MWADUI 0-1 YANGA

0
Inaongezwa dakika mojaMCHEZO wa Ligi Kuu Bara unaoendelea Uwanja wa Kambarage  kati ya Mwadui na Yanga, Yanga ipo mbele kwa bao 1-0.Balama Mapinduzi amefunga...

MWADUI,YANGA ZAPEWA TANO NA TFF KWA KUFUATA MUONGOZO WA SERIKALI

0
MASHABIKI wa Mwadui na Yanga leo wamfuata muongozo uliotolewa na Serikali kwa kukaa umbali wa mita moja ikiwa ni tahadhari dhidi ya Virusi vya...

SABABU YA YANGA KUPANDA NDINGA MPAKA SHINYANGA HII HAPA

0
INAELEZWA kuwa sababu kubwa iliyowafanya wachezaji wa Yanga kuelekea Shinyanga kwa ndiga ni kuepusha gharama zisizo za lazima pamoja na kuwaweka wachezaji kwenye mazoezi...

LEO KAZI KAZI, VIWANJA VIWILI KUWAKA MOTO

0
LEO Juni 13, viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kukupambana na mihimili ya miguu 44 baada ya masuala ya michezo kuruhusiwa kuendelea na Serikali.Hakukuwa...

AZAM FC YAIANDALIA DOZI MBAO

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa unajiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbao FC utakaochezwa Uwanja wa...

UJUMBE WA JEMBE KWA HAJI NA HASSAN

0
NIMEONA sehemu mbalimbali mitandaoni baadhi ya watu wakifurahia namna Msemaji wa Yanga, Hassan Bumbuli alivyomdhihaki Msemaji wa Simba, Haji Manara.Maneno makali aliyotoa Bumbuli kwa...