TETESI:- AKAMIKO TO SIMBA …KILA KITU KIKO ‘FYEDE’…MABOSI MSIMBAZI WAPANIA KULIPIZA…
Baada ya Yanga kutwaa taji la 30 la Ligi Kuu Bara, vita imebaki kwa mshindi wa pili kati ya Simba na Azam, lakini wakati...
KISA UBINGWA WA 30 …MANARA KATAKA MAMBO YA REAL MADRID YAFANYIKE KWA YANGA PIA…
Kutoka kwa El Bugatti Haji Manara; “Nyimbo rasmi ya FC Madrid, kila Madrid inapocheza popote pale Washabiki wake huimba hiyo nyimbo kabla na baada...
SIMBA:- HAKUNA TIMU INAYOTAKA KUMSAJILI INONGA….LAKRED ‘KULAMBISHWA’ MIWILI TENA…
Katika kuhakikisha inakuwa na kikosi imara kwenye msimu ujao, uongozi wa Simba umeanza mchakato wa kuhakikisha inambakisha kipa wake chaguo la kwanza, Ayoub Lakred,...
: SIMULIZI ZA ALADIN NA JINI MCHAWI KWENYE KASINO YA RISE OF THE GENIE….
Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya mtandaoni KUTOKA Meridianbet wenye kusisimua kutoka kwa mtoa huduma iSoftBet, ambapo jukumu kuu linashikiliwa na...
MAN UNITED, CHELSEA, PSG, JUVENTUS UWANJANI TENA LEO….
Michezo kadhaa ya ligi mbalimbali itakwenda kupigwa leo barani ulaya na moja kati ya timu ambazo zitashuka dimbani leo ni klabu ya Manchester United,...
KUHUSU ISHU YA KUPIGWA CHINI YANGA…MWAMNYETI AVUNJA UKIMYA…”SIONDOKI MPAKA WANIFUKUZE..”
Beki wa kati na nahodha wa Klabu ya Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto amekana tetesi zinazosambaa kuwa huenda msimu ujao akaibukia kwa wapinzani wao Simba...
EXPANSE TOURNAMENT MZIGO UMEFIKA TSH 400,000,000/= CHEZA SASA KASINO NA USHINDE..!
Maokoto yameongezeka kwenye promosheni ya Expanse inayoendelea kutimua vumbi kupitia Meridianbet Kasino ya mtandaoni, mpaka sasa washindi wanaweza kujinyakulia kitita cha milioni 400,000,000/= TZS...
BOKA TO YANGA MJADALA WAFUNGWA….ENG HERSI ATOA MIL 260 KUMALIZA MCHEZO MAPEMA…
Dili la beki wa FC Lupopo ya DR Congo, Chadrack Boka limefikia patamu ambapo mabosi wake wanatarajiwa kutua Dar es Salaam wakati wowote ili...
AHMED ALLY:- KOMBE LA SHIRIKISHO SIO BAYA…ILA SIO HADHI YA SIMBA KUCHEZA KOMBE HILO…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa timu yao wanapaswa kupambana kufa na kupona kuhakikisha wanamaliza katika nafasi ya...
KIZUMBI ‘IN’ YANGA …KUPISHANA NA MUSONDA ANAYEENDA TP MAZEMBE…STAA MWINGINE HUYU HAPA..
KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa nyota wawili beki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, katika timu za Saint Eloi Lupopo, Chadrack Boka na...