KOCHA AIBUKA NA KUSEMA ANAIDAI YANGA
JUMA Pondamali aliyekuwa kocha wa makipa wa Yanga amesema kuwa anaidai timu hiyo.Pondamali amesema kuwa anaida Yanga toka miaka ya 70 na masuala hayo...
AZAM FC YACHEKELEA UWANJA WAO KUTUMIKA KWENYE MECHI ZA LIGI NA KOMBE LA SHIRIKISHO
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umepokea kwa mikono miwili suala la uamuzi wa kutumia Uwanja wa Azam Complex kwa ajili ya mechi za...
KIMMCHI AZIMA NDOTO ZA DORTMUND KUSEPA NA POINTI TATU MAZIMA
JOSHUA Kimmich raia wa Ujerumani, kiraka anayekipiga ndani ya Klabu ya Bayern Munich alizima ndoto za Dortmund kusepa na pointi tatu kwenye mchezo wa...
MCHEZO MZIMA WA CHAMA KUREJEA BONGO UNACHORWA NAMNA HII
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba yupo kwenye mchakato wa kurejea nchini ili kuungana na wachezaji wenzake ambao wameingia kambini leo maeneo ya Mbweni.Habari...
KUMEKUCHA YANGA, KAZI BADO INAENDELEA LEO TENA VIPIMO PAMOJA NA DARASA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wapo kamili kwa ajili ya kuendelea na ligi pamoja na Kombe la Shirikisho baada ya Serikali kuruhusu masuala ya...
SIMBA WAWASILI KAMBINI RASMI
LEO wachezaji na benchi la ufundi la Klabu ya Simba wamewasili kambini leo kwa ajili ya kujiaandaa na mechi za Ligi Kuu Bara pamoja...
MAKAMBO RUKSA KUTUA YANGA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
JEMBE LA SIMBA LINALOTUA LEO NI BALAA
FRANCIS Kahata ndiyo jembe la kazi la Simba ambalo inaelezwa kuwa linatua leo kuungana na mabingwa hao watetezi kuendelea mbio za kuufukuza ubingwa zinazotarajiwa...