GSM KIBOKO YAMPA MKATABA NYOTA HUYU,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
MROMANIA WA AZAM FC ATENGA SAA 336 ZA KAZI
ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa atatumia masaa 336 ambayo ni siku 14 kurudisha makali ya kikosi.Ligi Kuu Bara ilisimamishwa Machi...
VIDEO: TUJIKUMBUSHE BAO LA BERNARD MORRISON DHIDI YA SIMBA
TUJIKUMBUSHE bao la Bernard Morrison mbele ya Simba, Machi 8, burudani inarejea
SIMBA YACHIMBA MKWARA HUU, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
KESHO ndani ya CHAMPIONI Jumatatu
ARSENAL YAMVUTIA KASI BEKI WA AJAX
INAELEZWA kuwa Klabu ya Arsenal ipo kwenye hesabu za kuwania saini ya nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Ajax, Nicolas Tagliafico.Nyota huyo mwenye miaka...
MBELGIJI WA YANGA KUSHUKA NA JEMBE HILI LA KUTUPIA MWANZO MWISHO MWISHO
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, ameweka wazi kuwa amepanga kumsajili mshambuliaji raia wa Ubelgiji, Andréa Fileccia mwenye umri wa miaka...
MANULA, KAGERE KUPIMWA CORONA
SIMBA wapo tayari kwa utaratibu wowote utakaotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiwemo suala la upimaji wa afya ili kujiridhisha kuwa wachezaji wao...
KLOPP WA LIVERPOOL ALIWAHIKUINOA TIMU ALIYOCHEZA ZAMA ZAKE
Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool aliibukia ndani ya kosi hilo msimu wa wa 2015 akitokea Klabu ya Borussia Dortmund.Alidumu ndani ya Dortmund kutoka...
COASTAL UNION KAMILI GADO KUREJEA KWA LIGI KUU BARA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa kikosi chake kitarejea mazoezini hivi karibuni mara baada ya sikukuu ya Eid El Fitri kumalizika.Juni...