LIGI KUU KUCHEZWA KWA VITUO, ISHU YA MASHABIKI IPO NAMNA HII
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa Ligi kuu...
ISHU YA LIGI KUU BARA KUREJEA, SIMBA YATOA TAMKO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa baada ya Ligi Kuu Bara kutangazwa tarhe ya kurejea na Serikali ambayo ni Juni Mosi itaendeleza rekodi ya kubeba...
KIUNGO WA YANGA HUMWAMBII KITU KUHUSU UGALI
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa miongoni mwa vyakula ambavyo anapenda kula ni ugali.Morrison raia wa Ghana alitua Desemba...
CHIRWA ABEBESHWA MAJUKUMU NDANI YA AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa iwapo Ligi Kuu Bara itarejea hivi karibuni wachezaji wote wana kazi ikiwa ni pamoja na mshambuliaji wao namba...
DILUNGA AYAKUMBUKA MABAO YAKE
HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ameikumbuka Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na yale mabao yake aliyofunga akiwa ndani ya uwanja.Dilunga...
HASIRA ZA LUKAKU BADO ZINAWAKA KWA KOCHA WAKE
VerifiedROMELU Lukaku, mshambuliaji wa Klabu ya Inter Milan ya Italia amesema kuwa hawezi kumsamehe kocha wake wa zamani wa Chelsea Andre Villas Boas.Sababu kubwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MENJA KUNTA AMUONYESHA UDAMBWIUDAMBWI MOLINGA
MWIMBAJI wa muziki wa Singeli nchini Meja Kunta, hivi karibuni alimtoa nishai, straika wa Yanga raia wa DR Congo, David Molinga, kwenye mazoezi yao...
LAMPARD ABARIKI KANTE KUJITENGA
KOCHA Mkuu wa Chelsea, Frank Lampard amesema kuwa uamuzi wa kiungo wake N'Golo Kante kujitenga na wenzake ni mzuri kwa manufaa yake na afya...