ULIMWENGU: NITACHEZA NDANI YA YANGA
ULIMWENGU Jules, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga.Habari zinaeleza kuwa mpango mkubwa wa mabosi...
MALENGO YA OZIL NI KUMALIZANA NA MABOSI WAKE KWANZA NDANI YA ARSENAL
ERKUT Sogot, wakala wa staa wa Arsenal Mesut Ozil amesema kuwa lengo la mteja wake ni kuhakikisha anamaliza muda wake ndani ya kikosi hicho.Ozil...
MESSI:CORONA IMETIBUA SHANGWE YA KUTWAA UBINGWA
RAMADHAN Singano, 'Messi' nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe amesema kuwa janga la Corona limetibua shangwe za ubingwa ambao wameutwaa hivi karibuni.Mazembe...
HAYA HAPA MAJINA YALIYOPO MEZANI MWA MABOSI WA SIMBA KWA AJILI YA KUWAPA DILI
MABOSI wa Simba wameweka wazi kwamba licha ya kuwa na majina ya wachezaji ambao wanawahitaji katika msimu ujao lakini kwa sasa wameyaweka pembeni na...
BOXER, NYOTA YANGA AFICHUA MAANA YA JINA LAKE
PAUL Godfrey maarufu kama Boxer beki wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa ya kupewa jina hilo ni spidi yake ya kukimbiza upepo ndani ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani nakala yake ni jero tu
ISINGEKUWA CORONA WANGETENGENEZA MKWANJA MREFU KINOMA HAWA JAMAA
LABDA kwa sasa wangekuwa wanakenua huku akaunti zao zikiwa zimevimba mkwanja wa kutosha kutokana na kufanya shoo ambazo zingewaingizia mtonyo mrefu nje na ndani...
HATMA YA EYMAEL KOCHA WA YANGA IMESHIKILIWA NA SERIKALI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unasubiri kupewa ruhusa tu kutoka kwa Serikali ya kuruhusu Ligi Kuu Tanzania Bara ili kumtumia Kocha Mkuu Luc Eymael,...
MCHAKATO WA KURUDISHA LIGI UTAANZA NAMNA HII
WAZIRI wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amesema wataanza kuirudisha ligi ya mpira wa miguu baada ya kufunguliwa kwa shughuli za...
MAONI YA WACHEZAJI WA NJE, ANGALIENI ISIJEKUWA ISHU YA MAJIBU MFUKONI
NA SALEH ALLYKUMEKUWA na mjadala mkubwa kuhusiana na suala la Tanzania kubaki na wachezaji wa kigeni kwa idadi ya 10 au ipunguzwe.Hii ni tokea...