YAKUB NA ABAROLA MAMBO BADO MAZITO GHANA
YAKUB Mohamed, beki kisiki pamoja na Razack Abarola, mlinda mlango namba moja wote wanaokipiga ndani ya Klabu ya Azam FC wamekwama kutua Bongo kutokana...
TIMO WERNER AKUBALI KUIBUKA CHELSEA
CHELSEA, inaonekana ina nafasi kubwa ya kuipoteza klabu ya Liverpool kupata saini ya mshambuliaji wa RB Leipzig, Timo Werner.Timo Werner, amekubali kujiunga na Klabu...
HIVI NDIVYO RATIBA ILIVYOFANYIWA MABADILIKO, HIZI HAPA ZITACHEZWA JUNI 27
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TBLB) imefanya mabadiliko kwa ratiba za michezo iliyopangwa kufanyika Juni 30 na Julai Mosi za raundi ya 31...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
FEI TOTO NA MORRISON WAKINUKISHA, JUMAPILI YANGA NA KIBARUA KINGINE
KLABU ya Yanga imeanza kutesti mitambo yake kwanza kabla ya kukutaa na Mwadui FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Juni 13...
YANGA YASTUKA DILI LA MAKAMBO, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa,, lipo mtaani
WACHEZAJI WA CHELSEA KUWEKEWA MSOSI KWENYE GARI
KLABU ya Chelsea imepanga kuwapelekea chakula wachezaji wake ndani ya gari baada ya mazoezi ili kujenga miili yao kutokana na sheria ya kuzuia mijumuiko...
SERIKALI YAZUNGUMZIA KUHUSU SIMBA NA YANGA KUKUTANA FA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Hassan Abbas amesema kuwa kuna uwezekano wa Simba na Yanga zikakutana kwenye fainali ya...
KIUNGO HUYU WA SIMBA MAMBO BADO MAGUMU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa itakuwa ngumu kwa sasa kumpata kiungo wao Sharaf Shiboub raia wa Sudan kutokana na mipaka ya nchi yao kufungwa.Shiboub...