MAPROO WANNE, MITAMBO YA MABAO NDANI YA YANGA PANGA LINAWAHUSU

0
INAELEZWA kuwa nyota wanne wa Klabu ya Yanga panga linawahusu msimu ujao kutokana na kushindwa kufiti ndani ya kikosi cha kwanza.Yanga iliyo chini ya...

BUNDESLIGA YAREJEA KWA KISHINDO, HAALAD AANZA YAKE

0
LIGI Kuu ya nchini Ujerumani maarufu kama Bundesliga imerejea jana rasmi ambapo kazi ilianza kwa mechi sita kupigwa kwenye viwanja tofauti huku mamilioni ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili 

MAMBO MAGUMU KWA SAID NDEMLA NDANI YA SIMBA

0
SAID Ndemla nyota wa Klabu ya Simba msimu huu 2019/20 mambo yamekuwa magumu kwake kutokana na kutokuwa na nafasi kikosi cha kwanza.Simba ikiwa imecheza...

MKE AMTWANGIA SIMU MCHEZAJI AKIWA UWANJANI

0
PETER Crouch nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya England amesema kuwa mkewe alikuwa hapendi kuskia kitu kinaitwa mpira wa miguu. Nyota huyo aliyekipiga...

NYOTA HAWA WATANO WAKUBALI KUMWAGA WINO JUMLAJUMLA SIMBA

0
WACHEZAJI hawa watano wamekubali jumlajumla kutua ndani ya Klabu ya Simba kukipiga msimu ujao iwapo utaratibu utafuatwa:- Jemmy Mumbere yeye ni kiungo wa AS...

NIYONZIMA ATUMA OMBI ZITO,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Jumapili 

MTUPIAJI NONGA AINGIA ANGA ZA YANGA

0
PAUL Nonga, nahodha wa Klabu ya Lipuli inaelezwa kuwa yupo kwenye rada za mabosi wake wa zamani Yanga ambao wanataka kurejesha saini yake.Nonga aliwahi...

MO DEWJI FOUNDATION NA KLABU YA SIMBA WASHIRIKIANA KUGAWA BARAKOA 25,000 DAR

0
WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, wamekabidhiwa barakoa kwa ajili ya kujilinda na homa kali ya mapafu (COVID-19) inayosababishwa na...

TAIRONE YULE BEKI MBRAZILI WA SIMBA AMETOA YA MOYONI

0
BEKI wa Simba, Mbrazili, Tairone Santos da Silva, amefichua kilichopo moyoni mwake kipindi hiki ambacho Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine hapa nchini kusimama.Mbrazili...