TETESI:- LYANGA ANUKIA SIMBA, YANGA….AZAM WAKIZUBAA TU KAENDA….
KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Ayoub Lyanga anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa klabu za Simba na Yanga, imeelezwa.
Lyanga mkataba wake unafika ukingoni...
UNAAMBIWA MASHINE MPYA YA YANGA NI BALAA NA NUSU…
Wakati Yanga ikibakiza hatua chache kumalizana na beki wa kushoto wa FC Lupopo, Chadrack Boka, Raul Shungu amewaambia ; “Ni bonge ya beki.”
Kocha huyo...
HIZI HAPA SABABU ZA MSINGI MGUNDA KURUDISHWA SIMBA….”BAJETI YA MISHAHARA MIL 600″…
Furaha imerejea Simba. Mabadiliko yaliyofanywa kwenye benchi la ufundi na kumrejesha Juma Mgunda yameanza kulipa. Ametumia mechi nne tu kubadilisha mambo ndani ya klabu...
ODDS ZA USHINDI LEO ZIMELALA KWENYE KIOTA CHA TIMU HIZI NDANI YA MERIDIANBET…
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet inakwmabia hivi kuelekea mwisho wa msimu una nafasi ya kutimiza ndoto zako kwa kubashiri mechi zako kwa usahihi....
KUMBE FEI TOTO BADO MALI YA YANGA…SIMBA WAKIMTAKA WALIPE BILIONI 1
Inaelezwa kuwa, Klabu ya Azam ikitaka kumuuza Fei toto kwa Simba ni lazima waipe Yanga kiasi cha pesa shilingi bilioni moja.
Akizungumza kwa code kwenye...
SIRI HII YAVUJA…KUMBE DUBE NDIO SABABU…AZAM KUFUNGWA NA SIMBA
Ndiyo; Kuanzia msimu uliopita mpaka sasa, Simba hakuwahi kushinda dhidi ya Azam FC Prince Dube akiwa Kikosini.
Tangu Msimu uliopita Simba SC ameshinda mechi 2...
TIMU HIZI HATARINI KUSHUKA LIGI KUU…KMC, TZ PRISONS ZATAJWA…LIST KAMILI HII HAPA
Ukitazama msimamo wa Ligi baada ya mechi za juma lililopita, ni Yanga, Azam, Simba na Coastal Union ndio ambazo zimejihakikishia kubaki kwenye Ligi kwa...
AHMED ALLY AWAPIGA DONGO HILI YANGA:- “MKIMNUNUA KIBU MTAFILISIKA
Meneja wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa Klabu wa Simba SC, Ahmed Ally amesema mchezaji wao Kibu Denis ambaye alihusishwa kujiunga na watani...
SIMBA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI HUYU HATARI…TAYARI AMEOMBA KUONDOKA
Kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas, Serge Pokou ameomba rasmi kuondoka klabuni hapo huku akihusishwa na Simba inayoelezwa inampigia hesabu kali.
Fundi huyo wa mguu wa...
YANGA YAWEKEWA MTEGO HUU…GAMONDI ASHTUKIA MAPEMA…AWACHANA WACHEZAJI WAKE
Mashabiki wameshaanza kushona jezi za Ubingwa wa Yanga msimu huu, lakini Kocha Miguel Gamondi ameshtukia mechi mbili zinazofuata zina mtego mkubwa kwao na akawaweka...