WINGA AS VITA: NIMEFANYA MAZUNGUMZO NA YANGA
TUISILA Kisinda winga anayekipiga ndani ya Klabu ya AS Vita ya Congo amesema kuwa amefanya mazungumzo na viongozi wa Yanga ambao wanahitaji kuipata saini...
LIGI KUU BARA KUREJEA MWEZI JUNI, KUCHEZWA BILA MASHABIKI
ALMAS Kasongo, Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) amesema kuwa wanakwenda kuifanyia kazi kauli ya Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.Jana, Aprili 3,...
MLINDA MLANGO MRUNDI AINGIA ANGA ZA AZAM FC
JONATHAN Nahimana, mlinda mlango wa KMC ambaye Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroek aliwahi kumsifu kuwa ni mlinda mlango makini ameingia kwenye rada za...
BARCELONA INA MPANGO WA KUMVUTA OLMO
DANI Olmo nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani inatajwa kuwa anaweza kurejea ndani ya Klabu ya Barcelona.Mchezaji huyo mwenye miaka...
MTUPIAJI LIGI KUU BARA AMTAJA BOCCO WA SIMBA KUWA MCHEZAJI HATARI
DARUESH Saliboko, mshambuliaji wa Lipuli amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao hupenda kujifunza mambo mengi kutoka kwake ni pamoja na John Bocco anayekipiga ndani...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wambele Gazeti la Championi Jumatatu
BEKI HUYU KUVUTWA NDANI YA YANGA MSIMU UJAO MAZIMA
BEKI Kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani ambaye aliwahi kuwa nahodha wa kikosi hicho inaelezwa kuwa miongoni mwa mabeki anaowakubali ndani ya Bongo ni pamoja...
BAADA YA KUVUTA JIKO LA PILI NIYONZIMA ATOA NENO HILI
IKIWA zimepita Siku kadhaa baada ya kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima kuvuta jiko la pili ameibuka na kuwataka wachezaji kuendelea kulinda mipango vyao katika...
AJIBU KUTOKUWEPO NDANI YA SIMBA MSIMU UJAO
INAELEZWA kuwa msimu huu wa 2019/20 utakuwa wa mwisho kwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu kukipiga ndani ya Simba.Ajibu alitua Simba akitokea Yangakwa...
PELLEGRINI AZIINGIZA VITANI INTER MILAN NA JUVENTUS
LORENZO Pellegrini nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Roma inayoshiriki Serie A ameziingiza vitani Inter Milan na Juventus ambazo zinaiwinda saini yake.Kiungo huyo anayevaa...