TSHABALALA YEYE MABAO YAKE NI MBELE YA WAKATA MIWA TU, SIRI YAKE HII HAPA
MOHAMED Hussein, 'Tshabalala' nahodha msaidizi wa Simba ni miongoni mwa mabeki wenye urafiki na nyavu na mabao yake yote amezitungua timu za makampuni ya...
YANGA YAWAOMBA MASHABIKI KULIPOKEA JARIDA LAO, KUNA BONGE LA OFA
UONGOZI wa Yanga umewaomba mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kulipokea Jarida la Yanga kwa kununua zaidi nakala.Yanga hivi karibuni ilizindua jarida hilo ambalo...
KIBAILO KUTAJA ATAKAPOKUWA MSIMU UKIKAMILIKA
HASSAN Kibailo, beki wa kulia wa Klabuya Coastal Union amesema kuwa atataja atakapokuwa msimu ujao pale msimu utakapokamilika."Bado ligi haijaisha hivyo siwezi kuzungumza kuwa...
NYOTA NAMUNGO FC WAMEWEKWA KATI KWA SIMBA NA YANGA KWA MTINDO HUU
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amekuwa na msimu mzuri ndani ya Namungo FC kwa kukiongoza kikosi chake kwenye mechi 28 na kukifanya kiwe...
ISHU YA AJIBU KUSEPA SIMBA IMEFIKIA HAPA
BAADA ya hivi karibuni kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu kudaiwa kupata dili la kuwaniwa na moja ya timu kutoka nje ya Tanzania, uongozi...
HARMONIZE HANA HABARI KWA SASA NA DIAMOND
MWASISI wa Konde Worldwide, mwanamuziki Harmonize, amesema hivi sasa hana uhusiano wowote na bosi wake wa zamani wa kundi la Wasafi Classic, Diamond Platnumz,...
SIMBA HAIJANYAMAZA, YATOA TAMKO JINGINE KUHUSU LIGI, YAMPA TANO JPM
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Rais John Magufuli anaonyesha nini maana ya uongozi baada ya leo kusema kuwa anafikiria kurejesha lizi zote za Bongo.Magufuli...
CORONA YASITISHA MPANGO WA MAJEMBE KAZI KUTUA AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC umefunguka kuwa kutokana na uwepo wa maambukizi ya Virusi vya Corona kumesababisha majembe ya maana kushindwa kutua klabuni hapo.Mabosi hao...