MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa,  nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako

STAA WEST HAM AINGIA ANGA ZA CHELSEA NA MANCHESTER UNITED

0
DECLAN Rice nyota wa West Ham ameingia kwenye anga za Manchester United pamoja  na Chelsea ambazo zinawania saini yake.West Ham mwanzoni mwa msimu huu...

KOCHA LIGI KUU BARA AKUBALI UWEZO WA KAGERE

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji walio hatari ndani ya Ligi Kuu Bara ni pamoja na Meddie Kagere.Akizungumza na...

MOLINGA APANIA KUFUNGA MABAO MENGI KWENYE LIKI

0
DAVID Molinga, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa anataka kufunga mabao mengi zaidi pale Ligi Kuu Bara itakaporudi.Molinga ametupia mabao nane ndani ya ligi akiwa...

GOR MAHIA YA KENYA WATANGAZWA KUWA MABINGWA KISA CORONA

0
SHIRIKISHO la Soka la Kenya, (KKF) limesema kuwa hakuna matumaini ya kuendelea na ligi kwa hivi karibuni na matokeo yake, Gor  Mmahia wametajwa kuwa...

HESABU ZA AZAM FC ZIPO NAMNA HII

0
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kujenga kikosi imara kwa ajili ya mashindano ya kitaifa na kimataifa kwa...

CORONA KIPIMO CHA UKOMAVU WA WACHEZAJI

0
HALI sio shwari kwa sasa kwa kuwa mambo megi duniani yamesimama na hii inatokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia.Kwenye kila...

MSHAMBULIAJI WA YANGA APANIA KUFANYA MAKUBWA, KIWANGO CHAKE ADAI HAKIJAMFURAHISHA

0
DITRAM Nchimbi, shambuliaji wa Yanga amesema kuwa kiwango alichokionyesha kwenye mechi za hivi karibuni akiwa ndani ya klabu hiyo kabla ya ligi kusimamishwa hajakifurahia...

KUHUSU KUPAMBANA NA CORONA WACHEZAJI FANYENI HIVI

0
MANAHODHA wa Bongo wakati wa kuzinduka na kuendeleza ile vita ya kupambana na adui Corona kwa vitendo ni sasa kwani hakuna muda mwingine ambao...

DIAMOND AMEANZA, WENGINE PIA NI WAKATI WA KUUNGANA NAYE, VITA NI YETU SOTE

0
WAKATI ule nakumbuka sio muda mrefu ngoma ya Kamwambie ilikuwa ni ya taifa ambapo kila kona ilikuwa inapigwa na watu wakawa wanaielewa.Sikupata tabu sana...