ERASTO NYONI AWA BALOZI, AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI
BEKI kiraka wa Simba, Erasto Nyoni amesema kuwa kwa sasa amekuwa akitumia muda mwingi nyumbani tofauti na mwanzo ambapo alikuwa bize na kibarua chake...
HIMID MAO:NILIPATA MUDA WA KUNUNUA MSOSI
KIUNGO mtanzania Himid Mao anayekipiga Klabu ya ENPPI ya Misri amesema kuwa alipata muda wa kununua chakula kabla ya kuzuiwa kutoka ndani.Nchini Misri, wakazi...
ADAM SALAMBA AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEZA DUA
ADAM Salamba nyota wa Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Al-Jahra SC, iliyopo Barani Asia amesema kuwa kikubwa kwa sasa ni kila mmoja kuomba...
MANCHESTER UNITED, LIVERPOOL, ARSENAL ZAKUTANA KWA NYOTA HUYU
MIAMBA ya soka ndani ya Ligi Kuu England ikiwa ni pamoja na Liverpool, Manchester United na Arsenal imegongana kwenye kuwania saini ya nyota anayekipiga...
GARETH BALE AUKUMBUKA MPIRA
STAA wa Real Madrid, Gareth Bale amefunguka kuwa anatamani sana kurejea uwanjani, lakini suala la usalama wa afya ni muhimu kwanza. Hii ni kutokana na...
HILI HAPA KOSI MATATA LA WACHEZAJI AMBAO MIKATABA YAO INAMEGUKA MSIMU UKIISHA
KWA sasa Ligi Kuu Bara imesimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Inatarajiwa hali kuwa shwari hivi karibuni kutokana na dua...
MTUPIAJI NAMBA MOJA AZIINGIZA VITANI YANGA,AZAM NA SIMBA
RELLIATS Lusajo nahodha anayekipiga ndani ya Klabu ya Namungo ameziingiza vitani timu kubwa tatu ambazo ambazo ni Simba, Yanga na Azam zinazopambana kuipata saini yake...
MYWEATHER ATAJA SABABU ITAKAYOMRUDISHA ULINGONI, YEYE NI CHIZI SAA
FLOYD Mayweather, amesema kuwa licha ya kutangaza kustaafu kupanda ulingoni kuzichapa ila anaweza kurejea tena ikimbidi kufanya hivyo.Bondia huyo ambaye alivuna mkwanja mrefu baada...
NYOTA YANGA AMEKUMBUKA MAKELELE YA MASHABIKI
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa amekumbuka kurudi uwanjani kucheza ila anashindwa kutokana na janga la Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia.Akizungumza na...
KUMBE KAGERE ALIKUWA ANAPATA TABU HII UWANJANI
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa mabeki wengi wamekuwa wakimkamia uwanjani jambo ambalo linamfanya awe makini muda mwingi akiwa ndani ya uwanja.Kagere mwenye...