JAMES KOTEI:NINAWEZA KURUDI SIMBA

0
JAMES Kotei, kiraka wa zamani wa Simba amesema kuwa iwapo mabosi wake wa zamani watahitaji saini yake hana tatizo nao kwani hawakuzinguana.Nyota huyo kabla...

KIUNGO WA MTIBWA SUGAR ANAYEWINDWA NA YANGA AFUNGUKIA ISHU YAKE

0
ABDULHAMAN Humud, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo Yanga itahitaji saini yake hana tatizo nao lazima atasaini iwapo watafikia...

KINARA WA UTUPIAJI BONGO ATAJA KINACHOWAPONZA WAZAWA KUTUSUA

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa wazawa wana uwezo mkubwa wa kucheza nje ya nchi ila wanashindwa kujiamini na kujituma ndani ya uwanja.Kwa...

YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KURUDI KWA MTUPIAJI MAKAMBO

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa kuwa na subira kwa wakati huu kuhusu kumrudisha nyota wao wa zamani Heritier Makambo ndani ya Yanga.Makambo...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu

KOCHA LIGI KUU AWAPA WACHEZAJI MAZOEZI YA KUCHEZA NA WAKE ZAO

0
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara amesema kuwa amewapa wachezaji wake mazoezi ya kucheza na wake zao wakiwa...

TIMU TATU KUBWA ZAINGIA VITANI KUIWINDA SAINI YA MARIO GOTZE WA DORTMUND

0
MARIO Gotze, kiungo anayekipiga ndani ya Borussia Dortmund saini yake imegeuka lulu kwa kuwaniwa na klabu kubwa ambazo zinahitaji huduma yake ikiwa ni pamoja...

MTIBWA SUGAR: MASHABIKI, WACHEZAJI WACHUKUE TAHADHARI YA CORONA

0
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa watanzania na mashabiki wanapaswa wachukue tahadhari ya Virusi vya Corona kwani ni janga la dunia...

AZAM FC: BADO HATUJAJUA HATMA YA LIGI ITAKUAJE

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado haujajua hatma ya Ligi Kuu Bara kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Azam ipo nafasi...

KAHEZA: BADO NAJIFUA NA KUCHUKUA TAHADHARI PIA

0
MARCEL Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa sasa anaendelea na program maalumu ili kulinda kipaji chake kuwa bora.Kaheza akiwa ndani ya Polisi...