UWEZO WA KAPOMBE WAMVUTIA BEKI HUYU ANAYEKIPIGA KCB, ATAKA KUJA SIMBA
SIMBA ishindwe yenyewe kwa beki wa kati wa timu ya taifa ya Kenya na Klabu ya KCB ya nchini humo, Michael Kibwage ambaye amesema anatamani kucheza...
TSHISHMIBI NA FEI TOTO WAMVUTA NDANI YA YANGA KIUNGO MKALI WA KENYA
YIDAH Sven, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya amesema kuwa anavutiwa na uwezo wa kiungo Papy Tshishimbi na Fei Toto...
BOGA AYAKUMBUKA MAISHA YA CHELSEA
KIUNGO Jeremie Boga nyota wa Klabu ya Sassuolo amefunguka kwa sasa klabu yake bora ni hapo aliposasa, ila hawezi kuisahau klabu ya Chelsea siku...
BAO PENDWA LA KIUNGO FUNDI WA SIMBA HILI HAPA
KIUNGO wa Simba Luis Miqussone amelitaja bao lake bora tangu ajiunge na Simba kwenye usajili wa dirisha dogo msimu huu Januari, akitokea Klabu ya...
ZAHERA AMCHOMOA BOCCO MSIMBAZI
ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amemwambia, straika nguli wa Simba, John Bocco, 30, bado anaweza kutisha katika soka la Afrika nje ya Tanzania...
JACOB MASAWE YEYE NA NYAVU TU
Jacob Masawe nahodha wa Gwambina FC amekuwa wenye ubora wake kwa kucheka na nyavu.Msimu huu kabla ya Ligi Daraja la Kwanza kusimamishwa alikuwa ametupia...
WACHEZAJI WAPEWA SOMO HILI KULINDA VIPAJI VYAO
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Adolf Rishard amesema kuwa ili mchezaji adumu kwenye ubora wake ni lazima awe na nidhamu ndani ya uwanja na...
KOCHA SIMBA AWATAKA AKINA LUIS WENGINE ZAIDI
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa anahitaji viungo wakali wenye uwezo mithili ya Miqussone ambao anaamini watampa matokeo ndani ya uwanja. Miqussone...
MEDDIE KAGERE AMJIBU KIBABE BOSSI WAKE SVEN
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba ameamua kumjibu kibabe bosi wake mkubwa kwenye benchi la ufundi Sven Vandenbroeck wakati huu wa maambukizi ya Virusi vya...
NYOTA POLISI TANZANIA APATA MUDA WA KUWA KARIBU NA MKE WAKE
SIXTUS Sabilo mtupiaji wa klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa kutokana na mapumziko ya lazima kwa wachezaji wa Ligi Kuu Bara Bongo yamemfanya amekuwa...