TSHISHIMBI:NASUBIRI SIMU YA MABOSI NISAINI

0
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa kwa sasa anasubiri simu ya mabosi wa Yanga ili amalizane nao kwenye suala la kumwaga wino.Tshishimbi mkataba...

KOCHA MANCHESTER CITY AWAPA SOMO MASHABIKI NA WACHEZAJI KUHUSU CORONA

0
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa ni lazima kwa wachezaji na mashabiki kufuata kanuni za afya ili kujilinda na Virusi vya...

JACKSON MAYANJA: MAMBO BADO HAYAJWA SHWARI KWA SASA

0
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC kwa sasa anakipiga anakinoa kikosi cha KFC cha Uganda amesema kuwa hali bado haijawa shwari kutokana na...

BEKI POLISI TANZANIA: UONGOZI WA POLISI TANZANIA UNAFUATILIA KWELI

0
WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kuliwa wa Polisi Tanzania amesema kuwa uongozi wa Polisi Tanzania upo makini kwenye kufuatilia maendeleo ya wachezaji pamoja na...

BEKI WA LIVERPOOL KUTIMKIA ARSENAL

0
DEJAN Lovren mwenye miaka 30 beki anayekipiga ndani ya Liverpool huenda akasepa msimu ujao.Beki huyo amekuwa hana nafasi kwenye kikosi cha kwanza kilicho chini...

MANCHESTER UNITED SASA YAMGEUKIA JAMES MADDISSON

0
JAMES Maddisson kiungo anayekipiga ndani ya Leicester City saini yake imekuwa Lulu ghafla kwenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu England.Nyota huyo mwenye miaka 23 anakipiga...

WASHIDI WA JISHINDIE GARI KUSEPA NA ZAWADI ZAO LEO

0
IMEZIDI kuwa tamu sasa promosheni namba moja Bongo ya Chomoka na Gari inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publisher wazalishaji wa magazeti ikiwa ni pamoja...

HAWA HAPA WANAOMBEBA FEI TOTO YANGA

0
FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Haruna Niyonzima na Papy Tshishimbi umekuwa ukimfanya kuwa Bora.Kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa ili...

TOTTHENHAM, JUVENTUS USO KWA USO KWA KIUNGO WA CHELSEA

0
WILLIAN nyota anayekipiga ndani ya Chelsea amewekwa kwenye rada za Juventus na Tottenham ambazo zimetajwa kumuwinda kiungo huyo.Willian alikuwa akihusishwa kutimka ndani ya Klabu...

HUSSEIN MACHOZI: CORONA IMETUFANYA TUSHINDE NDANI

0
HUSSEIN Machozi Mwana BongoFleva anayeishi Italia amesema kuwa maambukizi ya Virusi vya Corona yamewafanya wajifungie ndani muda mwingi.Machozi kwa sasa kazi zake za muziki...