BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU WA 2019/20 ATAPATIKANA KWA MTINDO HUU
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Almas Kasongo amesema kuwa hatma ya bingwa wa ligi itaamuliwa uwanjani na si vinginevyo.Kwa sasa...
KOCHA MKUU WA SIMBA AUKUBALI MUZIKI WA KIUNGO HUYU
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba raia wa Ubelgiji, rekodi zinaonyesha kuwa anaukubali ‘muziki’ wa kiungo wa Zambia, Clatous Chama, hivyo kwa timu inayowinda...
THAMANI YA NYOTA WA PSG SOKONI YASHUKA GHAFLA
THAMANI ya mshambuliaji anayekipiga ndani ya Klabu ya PSG, Kylian ambappe imeripotiwa kuporomoka kwa kasi kwenye soko la wachezaji kutokana na janga la maambukizi...
HAWA HAPA LICHA YA KUPEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA WANACHEKA NA NYAVU PIA
NDANI ya Ligi Kuu Bara ni manahodha wawili wazawa wenye mabao zaidi ya 10 kwa msimu wa 2019/20.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa...
WAGENI HAWA NI VINARA KWA KUTUPIA KWENYE TIMU ZAO NA WANA HAT TRICK PIA
KINARA wa utupiaji ndani ya Azam FC ni Obrey Chirwa raia wa Zambia ametupia mabao nane msimu huu ambapo aliwapiga hat trick Alliance FC...
NYOTA WA KARIOBANGI AKUBALI KUTUA YANGA KIROHO SAFI
YIDAH Sven kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Kariobangi Sharks amesema kuwa yupo tayari kuibukia ndani ya Klabu ya Yanga iwapo utaratibu utafuatwa.Mkataba wa...
AZAM FC YAKUMBUMBUKA TAJI LAO LA KWANZA NDANI YA LIGI KUU BARA KWA MARA...
UONGOZI wa Azam FC leo unakumbuka miaka sita iliyopita baada ya kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza bila kucpoteza mchezo. Aprili...
HUMUD ACHEKELEA DILI LA KUJIUMGA NA YANGA, AZUNGUMIZA MAISHA YAKE NDANI YA MTIBWA SUGAR
ABDULHAMAN Humud nyota anayekipiga ndani ya Mtibwa Sugar amesema kuwa maisha anayoishi ndani ya kikosi hicho anayapenda na yanampa furaha kwa sasa.Humud amekuwa akihusishwa...
MWAMBA WA LUSAKA CHAMA ATAJA MASHARTI YA KUTUA YANGA
CLATOUS Chama, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa Yanga haiwezi kuipata saini yake msimu ujao wa mwaka 2020/21 kutokana na kuwa...