NAFASI YA CIOABA YAGOMBEWA KAMA NJUGU AZAM FC

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umepokea barua nyingi za maombi ya kazi kutoka kwa makocha mbalimbali duniani wanaotaka kubeba mikoba ya Kocha Mkuu...

GALLAS AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

0
BEKI wa Polisi Tanzania, Luccian William, 'Gallas' amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akiwaomba watanzania kufuata kanuni...

MAOMBI YA KAGERE NI HAYA HAPA

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa maombi yake makubwa ni kuona kwamba Virusi vya Corona vinaiachia dunia iendelee na shughuli zake ili arejee...

MRISHO NGASSA AJICHIMBIA BAGAMOYO, AMPIGA DOGO KASEKE

0
KIUNGO mzawa anayekipiga ndani ya Yanga, Mrisho Ngasa amesema kuwa bado anavuta pumzi ya kurejea Dar es Salaam rasmi akiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya...

KINACHOMPA NAFASI TSHABALALA KIKOSI CHA KWANZA HIKI HAPA

0
MOHAMED Hussein, 'Tshabalala ' amesema kuwa kinachompa namba kikosi cha kwanza ni juhudi pamoja na kujituma bila kuchoka.Tshabalala amekuwa na msimu mzuri ndani ya Simba...

HUYU HAPA NYOTA ANAYEKIPIGA TIMU YA TAIFA YA RWANDA ANAYEWINDWA NA YANGA

0
 ALLY Niyonzima nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sorts ya Rwanda na timu ya Taifa pia anatajwa kuingia kwenye rada za mabosi wa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa,  nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako.

MANE AINGIA ANGA ZA MADRID

0
SADIO Mane mshambuliaji wa Liverpool inaelezwa kuwa yupo Kwenye hesabu za Kocha Mkuu wa Real Madrid,  Zinadine Zidane ambaye anataka kupata huduma yake.Mane amekuwa...

SIMBA YATAJA SABABU YA AJIBU KUWA NDANI YA KIKOSI CHA KWANZA

0
MOHAMED Hussein,'Tshabalala' ni beki wa kushoto ndani ya klabu ya Simba pia ni nahodha msaidizi akifanya kazi na John Bocco ambaye ni kapteni mkubwa.Kwenye...