KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA KAGERA SUGAR HIKI HAPA
MECK Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kikosi chake kilikuwa kinabebwa na nidhamu pamoja na kujituma kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa.Kwa...
MNATA ATAJA ANACHOKIPATA KUTOKA KWA SHIKALO
METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa anakubali uwezo wa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo kutokana na kuwa...
BERNARD MORRISON;MAMBO YANGEKUWA SAWA, NINGESAINI SIMBA
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa kama mabosi wa Simba wangemalizana na meneja wake basi angesaini jumlajumla kwa watani hao wa jadi...
KOCHA MKUU WA SIMBA ATOA NENO LAKE KWA MSHAMBULIAJI NAMBA MOJA BONGO
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amesema amekuwa akishangazwa na uwezo wa mshambuliaji wake, Meddie Kagere ndani ya uwanja kutokana na kufanya kazi bila...
MPANGO MKUBWA WA KUMALIZA LIGI KUU ENGLAND NI KESHO
KUTOKANA na kusimamishwa kwa ligi mbalimbali duniani kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, viongozi wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wanatarajiwa kufanya kikao kesho...
NYOTA HAWA WAZAWA WATANO MUDA WOWTE MAMBO FRESH YANGA, RIPOTI INAELEZA
RIPOTI ya Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael iliyotoa mezani inaelezwa kuwa anahitaji nyota wawili wazawa ambao watajiunga na Yanga msimu ujao ili kuongeza...
SIMBA YATAJA SABABU ZA KUILINDA SAINI YA CHAMA, ISHU IPO TFF KWA SASA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa miongoni mwa sababu kubwa zinazowafanya wailinde saini ya nyota wao Clatous Chama ni pamoja na kuthamini mchango wake alioufanya...
UKIACHANA NA CHAMA, HUYU HAPA MWINGINE KUCHOMOLEWA SIMBA
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga hesabu zao ni kuibomoa Simba na kuchokomoka na nyota mmoja ambaye amekuwa kwenye ubora wake licha ya kutokuwa na...
SIMON MSUVA ATAMANI KURUDI BONGO ILA AMEKWAMIA HAPA
SIMON Msuva nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga El Jadid ya nchini Morocco amesema kuwa kwa sasa anatamani kurudi nyumbani Tanzania ila...