HAWA HAPA MASTAA 8 WANATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA SIMBA. MBELGIJI AANZA NA JINA...
INAELEZWA kuwa mpango namba moja wa mabosi wa Simba ni kusuka kikosi bora ambacho kitafanya vema msimu ujao kwenye mechi za kitaifa na kimataifa.Kwa...
HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA JUMA KASEJA
JUMA Kaseja, nahodha wa KMC amesema kuwa kwa sasa anachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akifanya mazoezi kulinda kipaji chake.Ligi Kuu Tanzania...
AZAM FC HAWASAHAU BALAA LA SIMBA TAIFA
IDD Seleman, 'Naldo' mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa miongoni mwa mechi ambayo ilikuwa na presha msimu huu ni ile dhidi ya Simba walipokubali...
HUYU HAPA MTUPIAJI MATATA WA MALAWI ANAYETAJWA KUINGIA KWENYE RADA ZA YANGA
GABADINHO Mhango nyotaanayekipiga ndani ya Klabu ya Orlando Pirates ni miongoni mwa washambuliaji wanaofanya vizuri nchini Afrika Kusini.Raia huyo wa Malawi ni mbaya kwa...
LIGI KUU ENGLAND KUREJEA HATA WAKIAMBUKIZANA CORONA,NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
JOH MAKINI AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
JOH Makini, 'Mwamba wa Kaskazini amewaomba watanzania kuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.Kwa sasa dunia imevurugwa na Corona kutokana...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
STAA WEST HAM AINGIA ANGA ZA CHELSEA NA MANCHESTER UNITED
DECLAN Rice nyota wa West Ham ameingia kwenye anga za Manchester United pamoja na Chelsea ambazo zinawania saini yake.West Ham mwanzoni mwa msimu huu...
KOCHA LIGI KUU BARA AKUBALI UWEZO WA KAGERE
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji walio hatari ndani ya Ligi Kuu Bara ni pamoja na Meddie Kagere.Akizungumza na...
MOLINGA APANIA KUFUNGA MABAO MENGI KWENYE LIKI
DAVID Molinga, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa anataka kufunga mabao mengi zaidi pale Ligi Kuu Bara itakaporudi.Molinga ametupia mabao nane ndani ya ligi akiwa...