NGOMA BADO NGOMA NZITO AZAM FC
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC ameshikilia mkataba wa nyota wa timu hiyo Donald Ngoma.Cioaba raia wa Romania kwa sasa yupo zake likizo...
YANGA YAWAOMBA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amewaomba mashabiki kuendelea kufanya dua ili hali irejee kama zamani.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kutokana na...
MTUPIAJI NAMBA MOJA MBAO KUSEPA
WAZIR Jr, mshambuliaji namba moja ndani ya Mbao FC amesema kuwa iwapo timu yake itashuka daraja nafasi yake ya kubaki klabuni hapo itakuwa ndogo...
BEKI HUYU WA UGANDA ATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA YANGA
JUUKO Murshind, beki wa kati anayekipiga ndani ya Klabu ya Wydad Casablanca ya Morroco inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kurejea Bongo mitaa ya Kariakoo...
WACHEZAJI KUWEKWA HOTELINI KWA MUDA WA WIKI SITA KABLA YA LIGI KUREJEA
IMEELEZWA kuwa wachezaji wote wanaoshriki Ligi Kuu ya England watawekwa ndani kwa muda wa wiki sita kabla ya ligi hiyo kurejea.Kwa mujibu wa mtandao...
WACHEZAJI BONGO VIWANGO VYAO KUSHUKA IWAPO WATASHINDWA KUFANYA HAYA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo wachezaji watashindwa kufanya mazoezi binafsi wakati huu wa mapumziko ya lazima kuna hatari ya...
DANI ALVES ATAJA TIMU ANAYOPENDA KWENDA KUSTAAFIA
DANI Alves, staa anayekipiga ndani ya Sao Paulo amesema kuwa haitakuwa vibaya kama atastaafia ndani ya Klabu ya Boca Junior.Beki huyo ambaye amekipiga pia...
KILICHO NYUMA YA MBEYA CITY ILE YENYEWE CHATAJWA
PAUL Nonga, mshambuliaji wa kikosi cha Lipuli ambaye alikuwa miongoni mwa kikosi cha Mbeya City kilichotamba msimu wa 2013/14 ndani ya Ligi Kuu Bara...
SIMBA NA YANGA ZACHONGANISHWA NA MTUPIAJI HUYU
BIGIRIMANA Blaise nyota wa timu ya Namungo amesema kuwa ndoto yake ni kuona anaweza kucheza ndani ya timu kubwa Bongo ikiwa ni pamoja na...
SERIKALI YA UINGEREZA YAANZA MPANGO WA KUTAKA KUIREJESHA LIGI KUU
SERIKALI ya Uingereza inaelezwa kuwa ipo kwenye mpango wa kutazama upya namna bora ya kurejesha Ligi Kuu England ili kurudisha furaha kwa mashabiki wa...