KEVIN DE BRUYNE AJIPA UBALOZI WA HIYARI
KIUNGO mtengeneza mipango ndani ya Klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne amesema kuwa amekuwa balozi mzuri kwa sasa kwenye familia yake kuhusu kujilinda...
HATMA YA NYOTA WA ZAMANI WA YANGA IPO KWA MROMANIA WA AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa ishu ya mkataba wa mshambuliaji wao Donald Ngoma ipo mikononi mwa Kocha Mkuu, Arstica Cioaba raia...
IBRAHIM AJIBU ANAFANYA HIVI KULINDA KIPAJI CHAKE
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji ndani ya Simba amesema kuwa wakati huu wa mapumziko ya Ligi Kuu Bara kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona amekuwa...
ANAYEWINDWA NA YANGA AANZA KUAGA RASMI KWA MABOSI WAKE
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli ambaye saini yake inaelezwa inawindwa na mabosi wake wa zamani Yanga amewaaga mabosi wake wa Lipuli rasmi ili asepe...
KUMEKUCHA, KIUNGO MWINGINE NDANI YA SIMBA APIGIWA HESABU NA TP MAZEMBE
JONAS Mkude iwapo mambo yatakuwa sawa huenda msimu ujao akasepa ndani ya Simba na kwenda kukipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe ya Congo.Huyu...
NAFASI YA CIOABA YAGOMBEWA KAMA NJUGU AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umepokea barua nyingi za maombi ya kazi kutoka kwa makocha mbalimbali duniani wanaotaka kubeba mikoba ya Kocha Mkuu...
GALLAS AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
BEKI wa Polisi Tanzania, Luccian William, 'Gallas' amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akiwaomba watanzania kufuata kanuni...
MAOMBI YA KAGERE NI HAYA HAPA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa maombi yake makubwa ni kuona kwamba Virusi vya Corona vinaiachia dunia iendelee na shughuli zake ili arejee...
MRISHO NGASSA AJICHIMBIA BAGAMOYO, AMPIGA DOGO KASEKE
KIUNGO mzawa anayekipiga ndani ya Yanga, Mrisho Ngasa amesema kuwa bado anavuta pumzi ya kurejea Dar es Salaam rasmi akiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya...