MTUPIAJI NAMBA MOJA POLISI TANZANIA AKUBALI KUWAGA WINO YANGA
SIXTUS Sabilo, mshambuliaji wa Klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa yupo tayari kusaini ndani ya klabu ya Yanga iwapo watafuata utaratibu wa kuipata saini...
AZAM FC YACHEKELEA KUKAMILISHA UKARABATI WA UWANJA WAO
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tayari ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex umekamilika asilimia zote ukiwa sawa na ule wa TP Mazembe.Akizungumza na...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi
KISA CORONA…OZIL AKATAA MSHAHARA WAKE KUPUNGUZWA ARSENAL ..!!
KIUNGO Mesut Ozil inadaiwa ni miongoni mwa wachezaji watatu ndani ya Arsenal waliyokataa kuchukua mshahara uliyopunguzwa kwa asilimia 12.5.Juzi, Jumatatu, Washika Bundika walitangaza kuwa...
GADIEL- WACHEZAJI WA SIMBA TUNA DENI
BEKI wa kushoto wa kikosi cha Simba, Gadiel Michael, amesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo wana deni kubwa la kulipa kwa mashabiki wa klabu...
OLE GUNNAR ANAAMINI RASHFORD NI MATATA KULIKO KANE
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa ana furaha kwa kuwa klabu yake haikutumia pauni milioni 200 kuinasa saini ya Harry...
KESHO NDANI YA SPOTIXTRA SVEN AMCHAMBUA STRAIKA MPYA
Kabaaang! Spoti Xtra limemfikia Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck na kuzungumza naye kwa takribani dakika 56.Nunua gazeti lako keshoAlhamisi kwa Tsh 500 tu, usome...
OKWI KURUDI MSIMBAZI..? HANS POPE AMEFUNGUKA HAYA..!!
KUMEKUWA na tetesi kuwa straika wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi, anataka kurejea katika kikosi hicho msimu ujao.Okwi aliondoka Simba msimu uliopita baada ya...
KISA NKANA…WAZAMBIA WAMCHANA CHAMA KUWA SI MZALENDO
KITENDO cha kiungo wa Simba, Clatous Chama, kuwafunga Nkana na kuwatoa matika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, bado tukio hilo loinamtesa kwa mashabiki...
BEKI WA COASTAL UNION AZIPASUA KICHWA SIMBA NA YANGA
BAKARI Mwamnyeto, beki wa Coastal Union ameziingiza vitani timu za Kariakoo, Simba na Yanga ambazo zote zinaisaka saini yake.Mwamnyeto amekuwa kwenye hesabu kali na...