SABABU ZA MAULA KUKAA LANGONI LEO HIZI HAPA

0
Simba ikiwa imecheza mechi 26, Manula amekaa langoni kwenye mechi 19 huku mechi saba akikaa mlinda mlango namba mbili Beno Kakolanya. Simba ikiwa imefungwa...

YANGA: TUNAICHAPA SIMBA MAPEMA,UBINGWA WAACHE WACHUKUE

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa leo unaichapa Simba mapema ili kulinda heshima hauna hesabu na kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara ambalo lipo mkononi...

HAWA WA YANGA NA SIMBA WAKALI WAKITOKEA BENCHI KWA KUTUPIA AMA MIPASI

0
LEO Uwanja wa Taifa, majira ya saa 11:00 jioni kutakuwa na mchezo unaosubiriwa kwa hamu kati ya Yanga na Simba ambao ni wa mzunguko...

KOCHA MBELGIJI AWACHARUKIA WACHEZAJI WAKE NAMNA HII

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amewacharukia wachezaji wake wote wa Yanga na kuwataka wacheze kwa nidhamu mbele ya Simba leo kutokana na uimara...

SIMBA: YANGA WALICHEKELEA SARE YA KUFUNGANA MABAO 2-2

0
MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema kuwa wapinzani wao Yanga walifurahia sare waliyopata kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Januari 4, 2020...

ALLIANCE YAKWAMA KUFUTA UTEJA MBELE YA AZAM FC

0
AZAM FC jana imeinyoosha Alliance FC ya Fred Minziro kwa ushindi wa bao 1-0.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Uhuru ulikuwa na ushindani mkubwa ambapo...

VITA YAO LEO MANCHESTER UNITED V MANCHESTER CITY

0
LEO Uwanja wa Old Trafford kutakuwa na mechi kali ya kibabe kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City majira ya saa 1:30 kwa...

KAZIM IMEISHA, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la SPOTIXTRA Jumapili

HILI HAPA JESHI LA SIMBA LITAKALOANZA LEO DHIDI YA YAGA UWANJA WA TAIFA

0
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa, kwa mujibu wa Gazeti la CHAMPIONI Jumatano na sabau zimetajwa namna...

HIKI HAPA KIKOSI CHA MAUAJI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA LEO TAIFA

0
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo dhidi ya Simba, leo Machi 8, Uwanja wa Taifa kwa mujibu wa CHAMPIONI Jumatano na sababu zake zatajwa:-Kipa:...