NIYONZIMA WA YANGA ATIBUA DILI LA KIUNGO HUYU KUTUA YANGA JUMLAJUMLA

0
KIUNGO wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoro amesema kuwa kama asingekuwa Haruna Niyonzima kurejeshwa katika kikosi cha Yanga basi yeye angekuwa mmoja wa wachezaji wa...

FILAMU YA MWAMNYETO KUTUA SIMBA INACHEZWA NAMNA HII

0
WAKALA Kassa Mussa ambaye anamuwakilisha beki chipukizi anayekipiga kwenye timu ya Coastal Union, Bakari Nondo Mwamnyeto amekanusha uvumi unaoendelea kuhusu mchezaji wake kuhusishwa na...

KESHO NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI,

0
Kesho ndani ya SPOTIXTRA Jumapili usipange kukosa

AKITUA HUYU JANGWANI, ENEO LA KATI VITA YA NAMBA ITAKUWA SI MCHEZO

0
SALUM Abubakar,'Sure Boy' kiungo anayekipiga ndani ya Azam FC iwapo dili lake la kutua Yanga litajibu basi itaongeza vita ya namba.Kwa sasa Yanga ina...

KMC WAPIGA MATIZI YAO BINAFSI, HIVI NDIVYO WANAVYOFUATILIWA

0
UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa wachezaji wote wamepewa program ya kufanya wakiwa kwenye mapumziko kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh...

ISHU YA CHAMA KUTUA YANGA IMEFIKIA HAPA

0
UONGOZI wa Yangaumesema kuwa hauwezi kushindwa kuinasa saini ya nyota wa Simba, Clatous Chama iwapo watahitaji kumpata.Kumekuwa na tetesi za Yanga kuiwinda saini ya...

WACHEZAJI WA YANGA WATAKAOPUUZIA PROGRAM ADHABU INAWAHUSU

0
CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wanawafuatilia wachezaji amba hawatafuata program waliyoachiwa adhabu itawahusu.Benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha...

NYOTA WA AZAM FC WATUMIWA FEDHA ZA KUNUNULIA VIFAA ILI WAFANYIE MAZOEZI NDANI

0
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umewatumia fedha wachezaji wao wawili, Yakub Mohamed na Razack Abarola kutokana na kushindwa kurejea nchini kwa sasa.Wachezaji hao...

ERASTO NYONI NA BAO LAKE TAIFA LILIIBUKA BAADA YA SIKU 676

0
ERASTO Nyoni beki kiraka wa timu ya Simba bao lake la kwanza la kichwa msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara aliwafunga Azam FC...

KIWANGO CHA LUIS CHAMFANYA MUSA MGOSI KUSEMA HAYA..!!

0
NAHODHA wa zamani wa Simba ambaye ni miongoni mwa wachezaji waliojenga heshima Msimbazi, Musa Hassan ‘Mgosi’ amesema winga Luis Miquissone anaitendea haki jezi yake.Katika...