MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu

JOTO LA MECHI YA YANGA V SIMBA ISIWE CHANZO CHA KUBORONGA, VIINGILIO VIWE RAFIKI

0
JOTO la mchezo wa watani wa jadi katika ngwe hii ya lala salama unaotarajiwa kupigwa Machi 8, limewahi sana tofauti na mchezo wa raundi...

MKAKATI MKUBWA WA AZAM FC KUINYOOSHA SIMBA JUMATANO UMEJIFICHA KWA HAWA

0
UONGOZI wa Azam FC umewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Taifa, Jumatano ya Machi 4 kuipa sapoti timu hiyo itakapomenyana na Simba...

KMC: HATUKUPANGA KUAMBULIA POINTI MOJA TULITAKA POINTI TATU

0
SADALA Lipangile, nahodha wa KMC amesema kuwa hawakuhitaji kupoteza mchezo wao mbele ya Simba kutokana na nafasi waliyopo kwenye ligi ila walizidiwa mbinu na...

SAMATTA AWEKA REKODI MOJA MATATA SANA, KAMTUNGUA GUARDIOLA HANA HAMU NAYE

0
MBWANA Samatta, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England leo ameweka rekodi mpya kwa kufunga bao katika mechi ya...

MANCHESTER CITY YABEBA UBINGWA WA CARABAO MBELE YA SAMATTA

0
ASTON Villa timu anayokipiga Mbwana Samatta, jana Machi Mosi imeshuhudia ubingwa ukisepa jumla mpaka mikononi mwa wapinzani wao Manchester City.Villa iliyo chini ya Dean...

JURGEN KLOPP AIPA TANO WATFORD KWA KUMTIBULIA REKODI YAKE MAZIMA

0
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa wapinzani wao Watford walistahili kushinda mabao 3-0 waliyoyapata kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu England.Mchezo huo...

SIMBA YAIPOTEZA KCM KWA MABAO 2-0 UWANJA WA TAIFA, LUIS AFANYA YAKE

0
LUIS Miquissone leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kupachika kimiani mabao mawili yote wakati wakiilaza KMC kwa mabao 2-0 Uwanja wa Taifa.Mchezo wa leo,Machi...

JESHI LA ASTON VILLA DHIDI YA MANCHESTER CITY, SAMATTA NDANI

0
KIKOSI cha Aston Villa kitakachoanza leo dhidi ya Manchester City. Fainali ya Carabao, Samatta ndani